Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,967
- 42,208
Oi oi my boy my nigerAtatimuliwa tu muda ukifika
Oi oi my boy my nigerAtatimuliwa tu muda ukifika
Mna kila kitu? Mnachekesha sana..sasa kama mna kila kitu City na Liverpool watasema nini. Mnakusanya watoto wa mtaani huko halafu mnasema mna kila kitu, pambaf.Tuna kocha anayetengeneza matatizo ya kujitakia,tuna kila kitu lkn tunafanya vibaya sababu ya mabeef yake ya kipuuzi bora tufungwe na kama ikiwezekana jumatano naye Liverpool tupige.
hili ni jukwaa la gunners mambo ya martial ya nini humuMartiaaaaaaaal 0-3
Wewe wasema na ni mtizamo wako ,ila MIMI KAMA SHABIKI WA ARSENAL naamini timu yangu ina kila kitu.Mna kila kitu? Mnachekesha sana..sasa kama mna kila kitu City na Liverpool watasema nini. Mnakusanya watoto wa mtaani huko halafu mnasema mna kila kitu, pambaf.
We nawe una nini hebu nenda katika kilabu chenu cha panya road....ungekuwa liverpool au city sawa lakini manyumbu khaaaaa shubamitMna kila kitu? Mnachekesha sana..sasa kama mna kila kitu City na Liverpool watasema nini. Mnakusanya watoto wa mtaani huko halafu mnasema mna kila kitu, pambaf.
Ila kocha hamna mle.Wewe wasema na ni mtizamo wako ,ila MIMI KAMA SHABIKI WA ARSENAL naamini timu yangu ina kila kitu.
Ahaa kumbe shabiki wa Man UtdMartiaaaaaaaal 0-3
Kocha mwehu kishenzi tuna timu nzuri lkn upangaji wake wa kipuuzi,yaani mimi naomba mechi iishe drawa au tufungwe.Ila kocha hamna mle.
Kocha mwehu kishenzi tuna timu nzuri lkn upangaji wake wa kipuuzi,yaani mimi naomba mechi iishe drawa au tufungwe.