Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

2 zimerudi..duh Arsenal bana ..raha sana kuwaangalia wanavyoself-destruct
 
What a come back!!!! Arsenal mmeumia ngoma ya kitoto haikeshi
 
Football....45 mins ago was so happy.....and this tym around....cant say...
 
Kudadadadadadeeeeki! weraaaaa weraaaaaaaa!,......watani mpo?
 
Waaaapi Mbu.....wapi AW.......wapi Blntd?....wapi genaika?
 
Sijaona mechi yenu ila bila shaka leo mmetota f2nd half...nasubiri matusi kama kawaida yenu.
 
poleni watani

kuna jamaa anaitwa kiherehere... nadhani ndio kawatia gundu
 
Back
Top Bottom