Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

He's not bigger than the club
But the club is big because of him

Happy birthday Prof. Arsene Wenger
#OneArseneWenger
IMG_20191022_094609.jpeg
 
Emery anasema "Arsenal controlled the game and created a lots of chance but failed to score"

Tulicontrol game, tulitengeneza chances ???? Sijui labda sisi tuliangalia mechi tofauti.

Afu anakera huyu jamaa hakubali kuwa ameshindwa anakwambia "we are working to improve"

Unaimprove nini sasa? Nani ana huo muda wa kukusubiri wewe uimprove, kuimprove nenda kwenu Sevilla huko wakakuvumilie,Mtu umepewa mwaka mzima bado paka leo unajifunza nini???,

mpira unaochezwa haueleweki, kutengeneza chance tatu za wazi kwetu imekua shughuli nowadays.

#Emeryout
 
*Willock, saka, Nelson, martineli*
Hawa ni makinda ambao kwanza wanahitaji kucheza carabao cup, FA, na Europa. Wapate experience ya kutosha na wajenge stamina. Ata kwenye ligi wawe wanatokea sub kuanzia dakika za 70 hivi hasa husu martineli na saka
Huwa napenda sana kuwaangalia wakicheza huko. Ila unapowaweka hao watoto wakapambane na baba zao EPL ni ujinga kiwango cha mwisho kabisa

Na hii itasababisha fans wawachukie hawa watoto bure.

Barcelona kuna Ansu fati, huyu dogo yupo vizuri sana lakin anasugua bench

Man city yupo foden, ni mzuri kuliko hawa young players wetu lakin anasugua bench.

*Unai sio kocha, tumepigwa hapa*
Mfiwa wakati huu inabidi utulie mambo mirathi ni baada ya msiba. Mbona unaonyesha sana na mali?
 
JANA KIMEFANYIKA KIKAO , UNAI KAITWA MBELE YA EDU NA RAUL BAADA YA MECHI

source : JAMES BENGE (Arsenal correspondant)

NILISEMA HUMU NA NARUDIA TENA ,

EMERY ATATANGULIA KUONDOKA KABLA YA OZILView attachment 1240698
Mzee haya mambo mtajadiliana kifamilia baada ya waombolezaji kupungua na kuondoka kabisa. Msimwage mchele kwenye kuku wengi mnajiabisha mbele ya waombolezaji
 
Emery anasema "Arsenal controlled the game and created a lots of chance but failed to score"

Tulicontrol game, tulitengeneza chances ???? Sijui labda sisi tuliangalia mechi tofauti.

Afu anakera huyu jamaa hakubali kuwa ameshindwa anakwambia "we are working to improve"

Unaimprove nini sasa? Nani ana huo muda wa kukusubiri wewe uimprove, kuimprove nenda kwenu Sevilla huko wakakuvumilie,Mtu umepewa mwaka mzima bado paka leo unajifunza nini???,

mpira unaochezwa haueleweki, kutengeneza chance tatu za wazi kwetu imekua shughuli nowadays.

#Emeryout
Siyo now days hii ndio kawaida yenu na haya ndio masha mloyazoea.

Same Arsenal, Same Results, Different Season
 
Wewe na PATEL nani anajua mpira?

Ulishawahi kuwa hata kocha wa UMITASHUMTA?

KLop alipewa muda na PATEL apewe muda ajenge timu ya hataree.

Tupo nyuma ya Emery tunaamini misimu 5 ijayo timu itakuwa fire
Ni bora mimi ningekuwa kocha sio huyo bwege hamna anachojua kunizidi

Afu acha kumkosea heshima klopp, huyo angekuwa kocha wa Arsenal this season nadhani angevunja record ya AW ya unbeaten.

Unamcompare klopp na lampard
 
Back
Top Bottom