Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Unatoa wachezaji unaweka takataka. We kocha kweli.
Unai hajielewi.. Msimu huu unatosha kwake. Aletwe kocha mwenye uwezoNaanza kujiuliza kwanini Unai Emery alifukuzwa PSG.
Mashabiki wa PSG waliwahi kusema hivi Unai ndio kocha mbovu aliyewahi kuifundisha chini ya waarabu wao.Naanza kujiuliza kwanini Unai Emery alifukuzwa PSG.
Mwaka huu tukijitahidi sana tutakuwa nafasi ya saba
Unatoa wachezaji unaweka takataka. We kocha kweli.
Sijawahi kuona uzuri wa huyu dogo.Willock bado sanaaaaa
Leo unatamba wakati umewakuta hawajashinda ,wana fatigue
Mm njoo nipinge mwisho wa siku nimewaambien nafas zenu ni 10-15 hutaki subiri
Wamecheza kama ndio wanaongoza ligiLakini tukumbuke Watford wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi.
Hivyo kila mechi kwao kwa sasa ni kama fainali.
Hahahahahahahahah umeshafika mkuuRudia tena

