OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Tuko pamoja wakuu ...Hii arsenal yetu tumeipenda wenyewe..
Kila la kheri Chelsea


Kila la kheri Chelsea






Mlioweka mzigo hapa natumaini tunacheka pamoja sasa.Betting Tips Today.
Arsenal Vs Tottenham
TIP: draw or 2 & o 1.5
Stake: Your Life
Wakamaria nawatakia mafanikio mema ya weekend msijesema sijatoa hela leo.
Hahahahahahahahah Wewe jamaa una wakati mgumu sana hivi sasa.Kwa mpira anaocheza arsenal huu sioni kama timu yangu manchester united tunaweza kupata hata droo kiungo kipo safi sana
Usajili wa pepe ni mzur sana
Hahahahahahahahah CIVIL WARCivil war imeanza sasa.
Arsenal bhana.
Sio tu kumu-assist auba. Kijana alikuwa anaendesha timu haswaLakini Amemuassist Auba
Nadhani leo mtampa heshima huyu dogoOzil aingie badala ya Mateo
Arsenal sio timu ya ubingwa hata top 4 sijuiBaada ya dakika usije kubadili Maneno! Itabidi uendelee tu na Msimamo wako wa kuachana na hii Timu
Matteo nimekubali leo asee,hiko kiwango tunakitaka kila matchSio tu kumu-assist auba. Kijana alikuwa anaendesha timu haswa
Kila siku tutasema hivi Mkuu ila no changesArsenal rekebisheni matatizo yenu kwenye Defence tu muone utamu wa Maisha
Ni zaidi ya mpumbavu afadhali wangemchua zahaPepe ni mpumbavu sana, ana papara
KWELI NI TOFAUTI SANA, UKIDRAW NA SPURS UNAPATA POINT 2..Kudraw na Spurs ni tofauti na Kudraw na Sheffield United






















Kila siku tutasema hivi Mkuu ila no changes
Ukinipa majibu ya haya maswali kwa ufasaha utarudisha yako na kuwaona hao unawabeba hawabebeki.Kudraw na Spurs ni tofauti na Kudraw Sheffield United
Arsenal mli deserve kushinda hii match mmecheza vizuri sana mboreshe kiungo yenu