Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nimekupa bonge la tusi kubwa kuliko yote unayoyajua.........mpumbavu mkubwa maneno hayo kawaambie wazazi wako nyumbani nyau wewe,sasa ulitaka ukiongea upuuzi wako tukusapoti?shubamitt alafu jiheshimu wewe
 
Ndio uwezo wako wa kufikiria ulipoishia

Aibu ni jina lako ni Abdullah/Abdul
 
Mick ni deadwood?? Apo mumefeli..
 
Hahahahaha hii ndo fest XI ya arsenal?? Hapa darajani nusu yao wataanzia sub

Kila la kheri Chelsea
 
Hahahhaha aweke yeye , Ana leta utan na lacazette .
Uyu timu ya taifa hana namba unamfanisha na Gabriel Jesus?? Acha utani bwana..

Geroud ni bora Mara kumi ya Lacca..

Bisha..

Kila la kheri Chelsea
 
Lacazette, a 28 years old striker has 70 appearances for Arsenal with 29 goals

Jesus, JUST A 22 years old striker has 69 appearances for Manchester City with 28 goals
Wakibisha apa tena basi ..utakuwa ni unazi..

Kila la kheri Chelsea
 
Hivi kumbe Morata 24 years, alikuwa na magoli sawa tu au kumshinda uyu lacca 29years!!! Ina maana Morata alikuwa na uhakika wa kupata namba Arsenal.. Wakati lacazzete angeanzia benchi apo darajani ...

Ndio maana Deschamps haoni umuhimu wake apo France..

Kila la kheri Chelsea
 
So sad tumeshindwa toa ata mchezaj mmoja wa kugombania fifa 11, ata auba?
uyo Auba akija Chelsea au Man united atapata iyo nafasi ..akiendlea kubaki tu arsenal ataishia kucheza kucheza fest XI ya Unai tu..
 
PEPE KA FAKE INJURY?

Nicolas Pépe suffered an injury with his club, and informed the Ivory Coast FA on Wednesday evening. He has headed back to London. [Ivory Coast FA]
Uyo anaisaliti timu yake ya taifa kama Auba tu ..laana za wananchi wao zinawatafuna..
 
uyo Auba akija Chelsea au Man united atapata iyo nafasi ..akiendlea kubaki tu arsenal ataishia kucheza kucheza fest XI ya Unai tu..
Chelsea hii inayoenda kucheza championship mwakan? Na man hawa ambao mwaka huu nafas ya 6 ndio itakuwa achievement yao kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…