Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

AW na genekai tunashukuru kwa updates........nipo nacheki hapa....hawa jamaa tukienda kwao, shuguri ipo....
 
AC Milan washapigwa mbili na Real Madrid: Ronaldo na Ozil
 
Duh watani naona mnatoa statement hehehe....Hii mechi ya Real na Ac Milan imeniboa nimehamia ya kwenu.
 
Sidhani kama Arshavin ana haja ya kuingia tungemlinda tu kwa ajili ya mechi hijayo.Ni rahisi sana kuumia mechi kama hizi tukaja kujuta.


Angemlete bedtner apate match fitness.
 
Back
Top Bottom