Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ha ha ha Arsenal at work and Fabregas at the 'making'
 
Wewe ulikaa miaka mingapi bila kombe? au kwa vile kipindi cha ukame ulikuwa hupo Aston villa ndio ujiweki kwenye kundi la ukame la kipindi kile?

Mazee kwenye masomo yangu nilifail History! jaribu kuongea facts
 
facts ni kwamba mlipo chukua league title 1954/55 mlikaa mpaka 2004/05 ndio mkachukua tena piga hesabu miaka mingapi hio,FA cup mlipochukua mwaka 2000 mkaja kuchukua tena 2007 angalia miaka mingapi hapo. ndio maana nakwambia wakati huo ulikuwa Aston villa.
 
Hongereni washabiki wenzangu sasa tumechukua pints za kutosha kwenye mechi za marudiano tunaweza kuwapumzisha wachezaji wengine.
 
facts ni kwamba mlipo chukua league title 1954/55 mlikaa mpaka 2004/05 ndio mkachukua tena piga hesabu miaka mingapi hio,FA cup mlipochukua mwaka 2000 mkaja kuchukua tena 2007 angalia miaka mingapi hapo. ndio maana nakwambia wakati huo ulikuwa Aston villa.

Unabahati sana wewe kwa kuwa ni jamaa yangu! ningeandika neno moja tu CRAP, hahahahahahah ila shida yenu mtaona mumeishakuwa mabingwa msisahau kuna the likes of Barca, Madrid, Bayen, Man utd timu yenu bado ina utoto sana

alamsiki hongereni kwa ushindi wa kishindo lol
 
lol ndio maana nikasema na enjoy kwa nguvu zote kwani matokeo ni mechi hadi mechi .
 
Arsenal wameondoka wengi lakini ni wachache ambao hukumbukwa, mfano Cash cole, Anelka nk hata hawataweza kupewa heshima aliyopewa Ed.
 
Back
Top Bottom