Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Simba kapigwa moja bila.... Mkuu timu yangu tukishafika kipindi cha pili tunakuwa mdebwedo. Ila hawa watoto wabishi tangu walivyochukua point tatu Emirates anything was possible.Pole mkuu....maanafrom 2-0 t 2-2 inauma kweli...vipi simba na yanga
Wilshere hachezi mechi tatu?