The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,010
- 11,443
Majiraniiiiiii......katumia dk 28 tu kunyonyoa mtu 3. Siongez neno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nguvu zote europa
Safi sana mkuu endelea kuwapa updateSion mlango mtakaopitiaView attachment 1089195
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Safi sana mkuu endelea kuwapa update
Kwani Sarri huu msimu wake wangapi vile..??Mkuu emery ndio msimu wake wa kwanza, hebu muache kama madirisha matatu ajenge timu ,tutamjaji,
Klopp msimu wa kwanza hata top 4 alikuwa hagombei. ,mm kwangu unai ka jitahid sana, ila amekosa wachezaji wakumsaidia, ndio maana anahitaji madirisha karibu matatu, atengeneze jeshi lake litakalomtii
Asante babaa ..sisi arsenal pale Valencia tutachezea goli tatu mkuu..Sion mlango mtakaopitiaView attachment 1089195
Sasa wewe unajivunia nini ?umepigwa final na Man city na mpaka sasa hauna medalKwani Sarri huu msimu wake wangapi vile..??
Asante babaa ..sisi arsenal pale Valencia tutachezea goli tatu mkuu..
Mimi nmeingia fainali ..wewe huingii hata moja. Huoni tofauti ya Chelsea na Arsenal?Sasa wewe unajivunia nini ?umepigwa final na Man city na mpaka sasa hauna medal
Kwakweli pale hatutoki aise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena mchana kweupe
Halafu ukapigwa konzi gumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nmeingia fainali ..wewe huingii hata moja. Huoni tofauti ya Chelsea na Arsenal?
Dah nimeamini mkuuUmeamini maneno yangu,
Mzee waga unabet nn, huwe unanipa na mimi tips labda twaweza kumla kanjiUmeamini maneno yangu,