Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,499
- 2,222
Kwakuwa hufatilii habari za klabu,
Ila ungekuwa unafatilia ungejua hata CB ndio chaguo la kwanza,
Poa Aaron ngoja niwe mvumilivu msimu uishe, so far ni msimu wa kwanza kwa Unai.
Kwakuwa hufatilii habari za klabu,
Ila ungekuwa unafatilia ungejua hata CB ndio chaguo la kwanza,
Kwann isiwe miaka mitano au 20?Mkuu panga head to head miaka 10 iliyopita.![]()
Una mdomo unakuja kujifariji huku,MAREHEMU ALIKUWA NA MDOMO SANA.
.. japokuwa mechi tatu mfululizo kafungwa goli 9.
Kwann msinunue nyie kina mbappe, maana timu lako kila msimu linashuka,Mkuu achaneni na watoto wa shilingi mia mia..wekeni mipango ya kununua kina Mbape. Utoto mwingi sana hapo Emirates.
Hawa wachezaji wenu wa paund milion 20 ndo wanaicost hii timu yetu. Wenger ndo alijua kudeal nao sio huyu Unai anaruka ruka tu mpaka sasa hana first XI ..TUNARUDI SAMPDORIA TENA, BAADA YA LT11,
Arsenal scouts were in attendance to assess Sampdoria midfielder Dennis Praet against Lazio on Sunday. The Gunners are considering a £20m move for the midfielder, who could be reunited with Lucas Torreira at the Emirates. (Gazzetta dello Sport)View attachment 1084015
Haya tumekusikia, una lingine?Timu la hovyo hovyo
Wewe itakusaidia nini, sisi tukifungwa?Na leo kichapo mnakipata
Mkuu emery ndio msimu wake wa kwanza, hebu muache kama madirisha matatu ajenge timu ,tutamjaji,Hawa wachezaji wenu wa paund milion 20 ndo wanaicost hii timu yetu. Wenger ndo alijua kudeal nao sio huyu Unai anaruka ruka tu mpaka sasa hana first XI ..
Itakusaidia nini labda,mbona tukishinda hamji kusheherekea ,acha roho mbaya kengeres wewNa leo kichapo mnakipata
Njema mkuu, kikosi kitatoka sio muda,nitakileta hapaHabari wakuu, kikosi kipoje leo?