Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Wauze hao takataka, kama watapata mnunuzi including coach wao
Mkuu hata kocha hatuna. Kila game anabadili wachezaji wa mpira.Tuache utan jaman tuongee ukwel hv arsenal hii ilikuwa na ndoto za kuingia top4 ... Hata unai analijua hili kuwa anajenga kikos cha ushindan mwakan nashangaa fans wa arsenal mnavyoumia wakat ukwel mnaujua hamna timu ya ushnan
mambo ya 4 2 2 2 hayoI swear we cannot win Europa league, hakuna timu ya kuchukua europa, wachezaji wote hopeless





Wewe sio mwana Arsenal kabisa hii inauma kik***** yaani tumepatwa na Nyeg***** mechi 5 za mwisho Unai sio kocha xhaka ni ms**** ndo basi tena yaani dah imeniuma sana hata Europa league hatutabeba tuanze upya wamiliki pesa hawataki kutoa za kusajili nawalaumu sana Henry Wright na Adams kwa kunifanya niipende hii timu nawalaumu sanaTuache utan jaman tuongee ukwel hv arsenal hii ilikuwa na ndoto za kuingia top4 ... Hata unai analijua hili kuwa anajenga kikos cha ushindan mwakan nashangaa fans wa arsenal mnavyoumia wakat ukwel mnaujua hamna timu ya ushnan
Nyie tayari futuhi,Leo mbona umekubali kirahisi ivo. Hali ikoje kwa Sasa
Wewe mwenye timu ipo nafas ya ngapiHamna timu nyie, leo mlikuwa mnalala 3
Mhh!!!mnajifariji eh?Wewe mwenye timu ipo nafas ya ngapi
Arsenal bado ana option 1 ya kwenda UCL,
Umeanza kuongea mkuu,Hivi nyie ndio mlikua mnajilinganisha na Chelsea.?![]()
Mazoezi ya mwisho mwisho kuelekea mech ya Brighton,
Kama kawaida tunaombea njaa mech ya Chelsea iwe, sare au kupigwa
Adui muombee njaaView attachment 1088449View attachment 1088450View attachment 1088451View attachment 1088452













Umeamini maneno yangu,Labda sare ya harusi
Wewe unastahili kupewa hela, kama ni kubet ushampiga mu Israel unaondoka na chako.Mimi nina wasiwasi Arsenal atatoa sare ila Chelsea atashinda.
OK ngoja tuone basi,hiyo siku ya final,kwanza pambana umpige mjeruman alhamic
We jamaa huko uliko nahisi ushapungua kilo nne. Hutaamini na fainali nakugonga![]()
Eeh naona ushindi mmepata.Leo tunawaaga Ramsey na Cech, hivo ushindi lazima