Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe mwenye timu bora ,unatoka empty msimu huuUkiwa na timu mbovu kuwa mpole tu sio kuropoka tu kila jukwaa Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Wewe mwenye timu bora ,unatoka empty msimu huuUkiwa na timu mbovu kuwa mpole tu sio kuropoka tu kila jukwaa Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Piga kelele jumanne una messi,Ollachuga.....
Ollachuga pita huku mkuu kunachekesha sana leo hahahahahahahahah
Bado Europa tu Alhamis kwisha habari yako hahahahahahahahahWewe mwenye timu bora ,unatoka empty msimu huu
Kwan hujui kuwa alhamis tunaenda Europa final?Ila mkuu magoli Tisa kufunga Ni nyingi kwa mechi moja
UCL, tunaendaBado Europa tu Alhamis kwisha habari yako hahahahahahahahah
Unajisikiaje unafikisha point 97 na hubebi chochote?Bado Europa tu Alhamis kwisha habari yako hahahahahahahahah
Sisi hatuna gundu kama Liverpool,muda wa asenane kupanda matumaini na europa hamchukui mnaondoka patupu kama liverfool
City kesho anashinda....hizi ramli ndio huwa zinakuumbua wewe jamaa unatembea sana na matokeo mfukoniPiga kelele jumanne una messi,
City kesho anashinda
Utabeba kikombe cha chai msimu huu
Hatutebi chochote nini kwani ligi imeisha umekimbilia city tayariUnajisikiaje unafikisha point 97 na hubebi chochote?
Unashinda wewe basiCity kesho anashinda....hizi ramli ndio huwa zinakuumbua wewe jamaa unatembea sana na matokeo mfukoni
kumbe unachezwa uwanjani sasa Ropo ya niniNgoja tuone hiyo alhamis
Maana mpira hauchezwi mdomoni
na futuhi inawahusu msimu ujaoSisi hatuna gundu kama Liverpool,
Emery nguvu zote Europa no way out
Nimesema hambebi kitu kama unabisha bisha,Hatutebi chochote nini kwani ligi imeisha umekimbilia city tayari
Muulize mwenzakokumbe unachezwa uwanjani sasa Ropo ya nini
Ngoja kubeba kwanza Europa ,maana mshaanza kelelena futuhi inawahusu msimu ujao
Hahahahahahahahah Brighton ana kusumbua UEFA unakuja kumfunga nani weweUnashinda wewe basi
Maana hutaki city ashinde, huoni unapiga ramli kama ulivyodai kwa barcelona
Kesho city akishinda,, jumanne mess akiwazika ramsi ,nadhan akili itakukaa sawaHatutebi chochote nini kwani ligi imeisha umekimbilia city tayari
30yrs loading.....Hahahahahahahahah Brighton ana kusumbua UEFA unakuja kumfunga nani wewe
Hiv mnajijua mnagundu ? Waliowahi wote kufikisha 90 points walitwaa EPL,Hahahahahahahahah Brighton ana kusumbua UEFA unakuja kumfunga nani wewe