Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alisikika mlevi mmoja wa arsenane akiropoka
Arsenal Manchester United na Chelsea hawajapata mshindani ndo maana bado nafasi ya 4 wanaweza kupita kati ya mmoja wapo hapo ila mfano kungekuwa na timu katika top 10 kama enzi za Leicester city hahahaha sijui ingekuwaje
 
GBWA-20190424225208.jpg
 
sisi kikosi chetu tunakijua kikipangwa lazima mtu afe kikosi ambacho liver alipata sare, Man u kafa, Napoli Home&away...jamani sio mimi maneno ya Aroon
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Uje na maturubai mkuu mie nimeshaanda kuni na masufuria japo mpishi atakuwa Shishi.

Mgonjwa kabakisha dk 45 atutoke...
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabababahahahahahahahahahahahahahahahahahHabahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaA .......haaaAaaaaaaaaaaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaaaaaaaaaahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaaa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Bahat gan wakati Burney wamepiga on target mbili kwakuwa una pazia la gharama , zikazama zote

Bahati watu wamenyoosha mashuti kabisa. Pazia likashindwa kuzuia,

Sasa kweli ataweza kustahimili mziki WA laca xhaka boom huyo pazia?

Unakumbuka kombola alilopigiwa pale emirates na Lacazette?
1. Mkuu ulishinda kagoli kamoja kwa shida sana ile mechi Watford walipewa red card mwanzoni mwa game.
2. Mechi ya juzi na Palace hatutaki hata kuiongelea (ni aibu)
3. Leo TATU MZUKA kipindi cha kwanza.
Eti na wewe inataka kwenda kucheza UCL
 
Back
Top Bottom