Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio maana nimesema ni mshambuliaji WA tofauti, goal poacher,

Tofauti na lacazette , ndio maana wakianzaga wote kazi kubwa anafanya laca, yeye auba anamaliza tu,

Sio kila mshambuliaji lazima awe kama Kane au kun,

Auba ndio alivyo, japo angekuwa makin kwa chance anazochezea alitakiwa awe ana 25 goals hadi sasa ,kuna game karibu 5 hajafunga, lkn ni moja ya wanaongoza magoli,
Mkuu lile pazia Leno mmenunua soko gani? Mbna limechanika mapema tuu.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Bahat gan wakati Burney wamepiga on target mbili kwakuwa una pazia la gharama , zikazama zote

Bahati watu wamenyoosha mashuti kabisa. Pazia likashindwa kuzuia,

Sasa kweli ataweza kustahimili mziki WA laca xhaka boom huyo pazia?

Unakumbuka kombola alilopigiwa pale emirates na Lacazette?
Hahahahahahahahaha naona pazia lenu limeridhihirisha ubora wake ...hahahahaha mrudisheni Cech mapemaaa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Nafas ya 3 na 4 ni tot na arsenal ,kwan hilo mpaka Leo hulitambui mkuu?

Arsenal Leo anaweka kibindon point 3, then wikiendi wenye nafas zao za 5&6 wanakutana wanagawana hizo nafas, arsenal anakuwa anahitaji point 2-3 tu, katika mech 2 zilizobaki,

Case closed, Mbona nimekuwa nikiwaeleza humu kila Siku, weka akiba hii comment ,
Naona kweli nafasi ya tatu ni yenu mkuu. Hongereni sanaaa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Nafas ya 3 na 4 ni tot na arsenal ,kwan hilo mpaka Leo hulitambui mkuu?

Arsenal Leo anaweka kibindon point 3, then wikiendi wenye nafas zao za 5&6 wanakutana wanagawana hizo nafas, arsenal anakuwa anahitaji point 2-3 tu, katika mech 2 zilizobaki,

Case closed, Mbona nimekuwa nikiwaeleza humu kila Siku, weka akiba hii comment ,
Mkuu huwa upo kishabiki sana, sisi wote arsenal fans lakini wengine tupo objective kidogo.
 
AROON
Usisahau kuja kutuchambulia mpira wa leo.

Maana ww ndo unaiona Arsenal vizur.
 
1080250
 
Back
Top Bottom