Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kile kijamaa mdomo mrefu Kama Kasuku kinadanga majukwa yote sikioni naona kimekimbia uzi wanakiita kiaroni bila shaka.
 

Yule jamaa mwenye mdomo mrefu yuko wapi? Au Wolves wameukata?😂😂😂
 
Washabiki wengine poleni sisi tunashughulika na mpiga tarumbeta Aroon atueleze ya Emery Master na mashuti ya Uba&Laca
 
Arsenal anazo gemu nyepesi zote hata ile ya Watford kadi nyekundu ya Deney ilifanya mechi kuwa ngumu
 
Back
Top Bottom