Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Leo hata tukifungwa nitaridhikaKutoa Mkhi, timu ipo vizuri
Leo hata tukifungwa nitaridhikaKutoa Mkhi, timu ipo vizuri
Dah, pigo kubwa hili hasa kipindi hiki ambacho "tunaunga unga mwana"Ramsey wiki NNE ,atacheza game ya mwisho au fainal ya europa
Cha muhimu toreira na xhaka wawe wazima tu, mbona haponi MTU,Dah, pigo kubwa hili hasa kipindi hiki ambacho "tunaunga unga mwana"
Leo hata tukifungwa nitaridhika
Binafsi huyo mtu hua simuelewi kabisa yani hayuko sawa kabisa hua nikimuona kwenye gemu nakata tamaa mapema sana, halafu leo hatuna benchi kabisa pale njeKutoa Mkhi, timu ipo vizuri
Binafsi huyo mtu hua simuelewi kabisa yani hayuko sawa kabisa hua nikimuona kwenye gemu nakata tamaa mapema sana, halafu leo hatuna benchi kabisa pale nje
Haya mafala inabidi yauzwe yote