milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Mimi nimekubali matokeo Haijawah na haitakuja kutokea Arsenal awe nyuma kwa goli 2 halafu ashinde Never
Hahahaaaa.. Ukilenga tu Imooooo 2-0 huko
Yan mmeshjiaminisha kabisaRamsey wiki NNE ,atacheza game ya mwisho au fainal ya europa
Daaah mkuu leo hatuchomoki, kuna maangamizi huku.Kikosi tayari. Je Wolves watakufa?