Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Tottenham huyo kawaacha!
Pambaneni wakuu.
Pambaneni wakuu.
Huyu Auba, binafsi namuona ni legelege na sio mpambanaji mpaka huwa nashangaa kule Bundesliga aliwezaje kung'ara?Aubameyang bado nakuwazia Ile penalty uliyokosa dhidi ya Tottenham Hotspur Ile bahati tutakuja kuikumbuka 12th May
Hiyo bahati kwanini isiwatokee nyie?Kweny mpira kuna bahat hutokeaga ..Burnley jana ni bahati tu
Ila tuna uhakika Wolves hawatotuangusha..
Nafas ya 3 na 4 ni tot na arsenal ,kwan hilo mpaka Leo hulitambui mkuu?Tottenham huyo kawaacha!
Pambaneni wakuu.
Bahat gan wakati Burney wamepiga on target mbili kwakuwa una pazia la gharama , zikazama zoteKweny mpira kuna bahat hutokeaga ..Burnley jana ni bahati tu
Ila tuna uhakika Wolves hawatotuangusha..
Unatakiwa ujue laca ni fighter auba ni aina ya washambuliaji wamaliziaji,Huyu Auba, binafsi namuona ni legelege na sio mpambanaji mpaka huwa nashangaa kule Bundesliga aliwezaje kung'ara?
Unatakiwa ujue laca ni fighter auba ni aina ya washambuliaji wamaliziaji,
Ndio maana ana 19 goals
Japo ananiboa sana alitakiwa awe na 25 goals hadi sasa
Ndio maana nimesema ni mshambuliaji WA tofauti, goal poacher,As a striker, you're supposed to be cold blooded. Angalia Harry Kane hana huruma hata kidogo, sasa huyu Auba kama kama anajifunza kumbe ni veteran
Akicheza Guendouzi, Elnen na Mustafi hii game itakua ngumu.
Ikatokea naulizwa nitasema ni bora Mustafi awepo ila hao wawili wasiwepo.
Sure.Mustafi ni bora mara laki zaidi ya hao wawili
Kikosi tayari. Je Wolves watakufa?Kocha akiacha ujinga wake wa kupanga kikosi kibovu leo Wolves wanakufa mapema tu.

Seven changes to our XI
Sokratis back from suspension
Xhaka, Torreira start in midfield
Ramsey wiki NNE ,atacheza game ya mwisho au fainal ya europa***** hivi ramsey hajapoa. Wadau huyu wolve kufungwa kwao ni ngumu sana kwa mujibu wa rikodi za nyuma. Sasasijui leo itakuwaje maana kati kuna kandsome boy ozil. Mpira ukimkubali sawa lakini ukimkataa utajua kwanini ukamchezeshe