Mam City bado sana hatuwezi kusema kwa sasa kama watacheza mtindo walocheza leo na Liverpool na sioni kama watamaliza among top four.
Roberto mancini najua atafukuzwa leo Adebayo benchi! Silva benchi sasa akipona Boloteli itakuwaje?
And cost £6.5M. In Wenger we Trust:confused2:
Asante sana mkuu! Huwa sielewi kwanini watu wengine hupenda kuandika vitu wasivyo vijua makusudi kabisa? Ona huyo jamaa alivyokuwa analisha wenzake sumu? typical Fat Arse -Anal fans.
Khaaaa!!! hii hatasikuisoma,...mnh!
kiasi Gallas aende Spurs.
I hope ma defender wa msimu huu hawatamuachia DROGBA atufunge tena.
Mimi bana potelea mbali hata tusichgukue tena kikombe lakini marufuku kufungwa na Chelsea, na Spurs.
Inauma sana.
Mwaka huu mtajijua wenyewe si unaona hamuwezi kukaa bila kuongelea wababe wenu. The time is now - New Era at the Emirates. Angalia unavyoweweseka ukigonga hiyo link! Level ambayo Arsenal wamefikia Chelsick hata wakijaribu kunusu just kunusa wote mnaoishabikia hivi sasa mtakuwa mmekufa na kuoza.
Timu zinasajili vijana Mzee wenger anachukua vikongwe Mwaka huu Citeh anapanda top four!
Sebastien Squillaci is only 35 yrs old!
Naona unatishika sana na kila Wenger analofanya. Hicho ni kiwewe hebu twambie average age ya wachezaji wenu wa mafia team aka Chelsick then compare na Arsenal? Wacha majumgu mkuu umekuwa Rev. sasa sio bure ingawa ni u-Rev. bandia khe khe kheeeeeeeee
Boys against men goli 5 na point 6 last season! Mwaka huu dose ni 6
4 days remaining before the transfer window closed and the situation with Goalkeeper is yet to be solved!:mad2:, If we had 6 million to buy a player then it should be a bloody Goalkeeper, in my opinion this is our number one priority, I know we needed a central back but if we really want to challenge for a title then a Keeper should top any of our signing , I start to believe that Wenger and the board don't give a monkeys about fans or title drought whatsoever, the only thing that they care is profit and their personal interest (in Wenger case Les Blues)
Our back-line which is the backbone of any team has been transformed from the all conqueror English of Dixon, Keown,Adam and Winterburn to the all almighty French of Sagna, Schiullaci, Koscielny and Clichy! Basically Wenger is just trying to buy time before he jock off to France with a hefty bank balance, the timing for Wigan win couldn't come at best time for Wenger, because that win somehow calmed fans anger and frustrations regarding our goalkeeping plight, top that with a win at Blackburn and all the pressure for buying a keeper would disappear and before we blink the windows's slammed. Come January window, the same story unfold. Sick and tired of Wenger play.
PS: Nimeandika kimombo kuonyesha protest yangu kwa Wenger kwa sababu najua Arsenal FC wana peruzi-peruzi global fans zone kupata maoni ya wana gunners duniani, kwa hio pengine wapambe wa akina Kroenke, Hill-wood na Fiszman watakong'oli hapa JF kupata kilio chetu .
Wenger anafanya biashara na Arsenal finacially kwa sasa mambo si mabaya.
Ukumbuke Wenger ana masters degree tu, ya Economics na anaifanyia kazi pale Emirates. Sisi wapenzi wa Arsenal (maana hakuna wanachama) tunaamini mwaka huu lazima tuchukue walau kombe la CL.
Lol
4 days remaining before the transfer window closed and the situation with Goalkeeper is yet to be solved!:mad2:, If we had 6 million to buy a player then it should be a bloody Goalkeeper, in my opinion this is our number one priority, I know we needed a central back but if we really want to challenge for a title then a Keeper should top any of our signing , I start to believe that Wenger and the board don't give a monkeys about fans or title drought whatsoever, the only thing that they care is profit and their personal interest (in Wenger case Les Blues)
Our back-line which is the backbone of any team has been transformed from the all conqueror English of Dixon, Keown,Adam and Winterburn to the all almighty French of Sagna, Schiullaci, Koscielny and Clichy! Basically Wenger is just trying to buy time before he jock off to France with a hefty bank balance, the timing for Wigan win couldn't come at best time for Wenger, because that win somehow calmed fans anger and frustrations regarding our goalkeeping plight, top that with a win at Blackburn and all the pressure for buying a keeper would disappear and before we blink the windows's slammed. Come January window, the same story unfold. Sick and tired of Wenger play.
PS: Nimeandika kimombo kuonyesha protest yangu kwa Wenger kwa sababu najua Arsenal FC wana peruzi-peruzi global fans zone kupata maoni ya wana gunners duniani, kwa hio pengine wapambe wa akina Kroenke, Hill-wood na Fiszman watakong'oli hapa JF kupata kilio chetu .
Hey do not worry Sebastien Squillaci can be converted to Goal Keeper with Mr Wenge Musika!
Peasant kusema kweli kwa Almunia naona hata huyu Hilario ni bora, tunae yule dogo Mannone ni mzuri zaidi ya Almunia na Fabianski lakini Wenger hamuamini tu.Pole sana Kweli kwa kuwa mkweli kama jina lako. Anyway, tunatafuta timu ya kuwapa Hilario....hapo vipi?