Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safari hii mnaishi group stages kundili watapita Shakhtar Donetsk na Braga
Kupita tunapita tu, hio haina shaka tunahitaji pointi walau 10 kusonga mbele, nikiangalia pointi 9 ziko tayari Emirates, tunahitaji walau sare moja ugenini, ama tukipata sare 2 ugenini tutaongoza kundi.
 
Wameanza kulia lia kama vitoto vya chekechea

carousel_sport_wen_1113709a.jpg

Hahahaha! Wazee wa kulialia wameanza kazi yao! Kocha, wachezaji mpaka washabiki wote ni vilio tu.
 
:horn::horn::horn: ....:A S-frusty2: ...'Vuvuzela' kibao kwenye kijiwe hiki, duuuh!
ha ha ha...!

Hamtuachii hata tunywe maji!?
 
Almunia, Sagna, Vermaelen, Koscielny, Clichy, Song, Diaby, Fabregas, Walcott, Arshavin, Van Persie.
Substitutes:
Fabianski, Gibbs, Eboue, Wilshere, Rosicky, Vela, Chamakh
 
goli la mamadou diouf blackburn1- arsenal 1

inaumiza sana koschieny hana nguvu kabisa za kumkaba diouf
 
van persie kaumia anatoka na chamakh anaingia,kumbuka leo ilikuwa mechi ya 200 ya rvp, fabregas nae sidhani kama atamaliza dakika 90
 
tatizo ni kulinda ushindi,wabovu sana sisi kwenye mpira wa nguvu na air ball.i hope tutapata nafuu hapa arshavin 2-1.

salam wakuu wa gunners wenzangu najuanimechelewa lakini mmeniwakilisha.
 
tatizo ni kulinda ushindi,wabovu sana sisi kwenye mpira wa nguvu na air ball.i hope tutapata nafuu hapa arshavin 2-1.

salam wakuu wa gunners wenzangu najuanimechelewa lakini mmeniwakilisha.

Labda Squilaci atakuwa tofauti. Hata hivyo wengi tumeweka kambi pia kwenye thread ya Jangwani live (something in the making), mpaka TBC walipoamua kukata matangazo....what a shame!! Itabidi wajitahidi tushinde hii mechi, uwezo upo kama hawatamwachia Diouf kuwageuza anavyotaka!!
 
sawa sawa mkuu.

Mkuu longtime sana umetutupa jukwaani hapa.safi sana kuona umerudi kuwakilisha gunners.
 
sawa sawa mkuu.

Mkuu longtime sana umetutupa jukwaani hapa.safi sana kuona umerudi kuwakilisha gunners.

Nipo Mkuu, majukumu yalibana kidogo hata hivyo kulikuwa hakuna la ziada zaidi ya tetesi za usajili na unajua kwa Arsenal unaweza ukaumia kichwa kufuatilia tetesi, kwa summer nzima wanahusishwa na kama wachezaji 1000! na wanaishia kusajili mmoja au sifuri!!
 
It's an Arsenal win and 3 points at Ewood Park: Hongera wakuu wote kwa ushindi huu muhimu kwenye dimba hili gumu, ngoja turudi kwenye siasa. Kumbukeni Kura zenu kwa Dr.Slaa!!
 
SNN3009C-280_1115642a.jpg

ENGLANDand Arsenal teen sensation Jack Wilshere spent nearly ten hours in a police cell after a girl was left with a broken elbow in a 3am bust-up.

The 21-year-old victim was punched repeatedly and kicked to the ground outside a swanky nightclub and her boyfriend was bashed in the face.
Wilshere, 18 - who made his England debut in the friendly against Hungary earlier this month - was out partying with three pals when trouble erupted.
 
...Yob culture, no wonder mzee Wenger hawafagilii English youngsters.

Hawachelewi kubweteka hawa chenji zikishawachanganyia.
Yale yale ya kina Jay Emmanuel Thomas, au Jermaine Pennant, sijui kaishia wapi sasa.
Soon mtasikia David Bentley naye 'anaokota makopo' Harry Rednapp asipoweza mdhibiti.

Back
Top Bottom