HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,935
- 102,690
duuuuh
Kawaida sana hasa kwa timu mbovu kama asenane hawana timuFirminho kafunga goli 2 ndani ya dakika moja na nusu..rekodi hii..
Sent using Jamii Forums mobile app
shkamoo friminoFirminho kafunga goli 2 ndani ya dakika moja na nusu..rekodi hii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mnae Torreira au leo hachezi?Game litatulia tunaweza kuambulia angalau sare.
Ila safu ya ulinzi ya Arsenal bado sana, tuwe wakweli.
Sare ndotoniGame litatulia tunaweza kuambulia angalau sare.
Ila safu ya ulinzi ya Arsenal bado sana, tuwe wakweli.