Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uwe na heshima unapotutolea matusi as if tumekutukana haipendezi.Halafu suala la kufungwa siyo kitu kigeni sana kwani hakuna timu ambayo haijafungwa.Unatuita mbwa, unatuita mbuzi hivi ni wapi umeona tumekutukana au kukutolea lugha chafu hadi uamue kufanya hivyo kama kutulipizia.
Kwa ufupi binafsi umenikera ila siwezi kukujibu kiudhalilishaji kama unavyotudhalilisha mashabiki wa arsenal. Timu ya liverpool imepitia wakati mgumu sana huko nyuma nafasi ya sita nk lakini hamkutukanwa.

Ifikie hatua jukwaa liheshimiwe hata kama unajua huwezi kufanywa chochote kwa matusi hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani kufungwa Goli 5 ni zaidi ya kudhalilishwaaa... huyu anamalizia tu kuwadhalilisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mzee Wa TORREIRA na AUBA?

Naona Firmino kamgeuze Kondoo TORREIRA 😀 😀 anamlisha nyasi bila ya huruma 😀😀

Eti TORREIRA ni kiungo bora EPL !!!! Arsenal bhana 😀😀

Nadhani Firmino ameshawapa jibu kuwa TORREIRA is shit.
Ilifika hatua wakamjaza TORROERA na kumfananisha na KANTE NGOLO ..hii ilikuwa ni dhambi kubwa sana wanaitenda bila wao kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani hamjambo mmeamkaje ??????
Mnajisikiaje na hali lakini
 
Ameenda mfululizo game 22 hajapoteza hamkusema yupo sawa na wenger ila alipoanza kupata matokeo mabaya baada ya majeruhi kuwa wengi kawa mbaya. Acheni ulimbukeni kama hamuujui mpira kaeni kimya siyo kuweka dharau. Huyu ni kocha Bora arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha bora kwako sio kwa wote. Usilazimishe mtazamo wako uwe mtazao wa mashabiki wote wa arsenal.
 

Napenda kuwakumbusha waombolezaji kutoka Stamford Bridge, hapa ni msibani, msitegemee kushiba maharage hakuna mtakunywa chai na maandazi mawili mawili tu. Waombolezaji wanaendelea kufurika!
 
Kocha bora kwako sio kwa wote. Usilazimishe mtazamo wako uwe mtazao wa mashabiki wote wa arsenal.
Sasa unayemuona ni kocha bora kamlete mimi naangalia anachokifanya ktk mwanzo wake mbona vilabu vingi vimefukuza makocha na hao unaowaona wanafanya vizr wapo msimu wa pili na hizo timu.
Unaweza ukamlaumu ikiwa ana misimu miwili au zaidi. Unachokilalamikia wewe huwezi ningeona wa maana kama ungetoa hata option za usajili ktk idara zinazopwaya but unaishia kusema mbaya mbaya hizo ndiyo roho za waafrika wengi tulivyo ni lawama tu bila solution.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom