Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kaa kimya wewe, timu lako mwaka wa ngap huu linatoka kapa,

Malizana na manyua kwanza, had may utangaze ubingwa ndio tutawaelewa au mbebe hata FA cup tu, lasivyo NOTHING
Vipi jamaa kamalizanaje na manyua?
 
Humu ndan wenyeji hawapo wakuu wameacha mlango waz kaz yao ilikuwa kupita majukwaa ya watu hawakujua kama wanajipiga ban wenyewe ha ha ha ha ha wamekalia tu oooh ss unbeaten Austin wa soton kawaprove wrong
sisi sio plastic fan tupo na tutaendelea kuwepo hilo ndio soka
 
Humu ndan wenyeji hawapo wakuu wameacha mlango waz kaz yao ilikuwa kupita majukwaa ya watu hawakujua kama wanajipiga ban wenyewe ha ha ha ha ha wamekalia tu oooh ss unbeaten Austin wa soton kawaprove wrong
Kazi kwenye majukwaa ya wengine kutwa
 
Kazi kwenye majukwaa ya wengine kutwa
sijui wewe hapa unafanya nini sasa kama wewe huendagi katika majukwaa ya wengine......ushabiki wa mpira haupo hivyo na ndio maana mtu anaacha kucheki game home anaenda kibanda umiza ili kupata burudani za kishabiki.......

hii ndio GUNNERS mkuu sisi tunakukaribisha hata ukitaka kulala hapahapa hatunaga huo ukolo wa washangiliaji wa luzapulu kina queen nani sijui
 
leo inatakiwa tupate point 3 muhimu ili wale majogoo feki wakipunguzwa kasi na manure sisi tuzidi kupunguza gape la point,maana spurs sina shaka nao kabisaaaaaaaa
burnley wamefanya mambo ya ajabu sana jana ila still mapambano yanaendelea na naiamini timu kwa sasa hasa kurejea kwa le capitain pale nyuma
Poleni majirani....imekuaje Tena. Ama Torrera hakuwepo uwanjani??
 
The unbeaten run will end today. Southampton wanakumbukaga kucheza mpira vs Arsenal tu. Zikija timu nyingine wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi.
Unapoingia uwanjani...unaenda kwa lengo la kupata pointi tatu. Kupata pointi moja ama 0 Ni ujue pande moja imezidiwa uwezo ama maarifa.

Jana Arsenal kazidiwa mbinu na Southampton. So mpira Ni mbinu mwenzako akikuzidi unjanja unaogea magoli. Ukumbuki Wolves na Chelsea kilichowapata??
 
Nayapokea matokeo kwa mikono miwili,ni haki ya mchezo,wenzetu walikua na hali mbaya toka ligi imeanza,halaf kukumbushia tu huu mchezo ulikua na pressjre kubwa kwa unai,maana alitamani avunje rekod ya Graham ya kucheza michezo 23 bila kupoteza,,wing wa majeruh kule nyuma ni tatzo, kuweka viungo watatu au xhaka kumbadil namba bado ni tatzo,


Arsenal fan tusivunjike moyo kwa kupiho cha jana japo kimetupotezea hesab kdgo,but all in all tutajipanga na mechi ijayo japo inaweza kua ngumu kuliko hii ya jana... In Unai we Trust.
 
Poleni wapendwa.Mmeamkaje na maumivu ya soton aliyotuletea jana.
Jana imevunja rekodi vigogo wawili kuchezea bakora.
 
Back
Top Bottom