Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The unbeaten run will end today. Southampton wanakumbukaga kucheza mpira vs Arsenal tu. Zikija timu nyingine wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi.
 
Mim ninavyoamin tunaenda kupindua matokeo, hasa ukizingatia nimetia mzigo kwenye hii match
 
The unbeaten run will end today. Southampton wanakumbukaga kucheza mpira vs Arsenal tu. Zikija timu nyingine wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi.

Eti unbeaten run, kwa hiyo Man City na Chelsea mmefuta matokeo?
 
Magoli yote mawili tulitofungwa yanafanana tu na yote ni uzembe wa beki za kati!!

Hope matokeo yatabadilika ingawa Bellerin sijui kama atarudi maana alivyotoka kutokana na majeruhi anaonyesha kabisa anaweza asirudi uwanjani
 
Nimewaamini In play mna odd ya 4 kushinda nimeweka 10000 arsenal ya kipindi cha Pili ,common washika bunduki
 
Back
Top Bottom