Kama unajua ndo mpira ndo uache kubwekabweka majukwaa ya watu. Sasa umenyamazaMajeruhi ya mabeki hasa wa kati ndio tatizo
Nadhan hii itakuwa alert ,january tutaleta mabek wawil wa kati, kwa lazima
Next *BURNLEY* (Home)
Ndio mpira

Walijiona washawin maisha yaniHahahahahah, washabiki wa arsenal hata ukiwaambia habari ya asubuhi, utasikia... Torreira
Kaa kimya wewe, timu lako mwaka wa ngap huu linatoka kapa,Kama unajua ndo mpira ndo uache kubwekabweka majukwaa ya watu. Sasa umenyamaza![]()
![]()
Three headers three goals, goli la pili la kucheza kwa kichwa kolsieny anataka kupiga kwa mguu. Beki mbovu, tena hawa first eleven wanarudi k8na kolsieny na monreal ndio ukuta unaanza kuonekana mbovu.Mabeki wasajiliwe sasa kwa dirisha dogo.
Mlijikuta mshawini life eenhKaa kimya wewe, timu lako mwaka wa ngap huu linatoka kapa,
Malizana na manyua kwanza, had may utangaze ubingwa ndio tutawaelewa au mbebe hata FA cup tu, lasivyo NOTHING
ndo mpira huo baba.Bado dk kadhaa tu game yenu ianze
Mkitobolewa ndio unaleta maneno ya ndio mpira 😅😅😅😅😅😅 wengine wakifungwa huwa sio mpira ni CherekoMajeruhi ya mabeki hasa wa kati ndio tatizo
Nadhan hii itakuwa alert ,january tutaleta mabek wawil wa kati, kwa lazima
Next *BURNLEY* (Home)
Ndio mpira
Wazo la kumchezesha Guendouz, Torreira na Xhaka pamoja siliafiki, katika mechi zote zenye hao wote watatu kiungo hakijawahi kuwa stable.Koscienly ametoka majeraha unampa mechi ngumu kama hii kwa dakika 90 lazima mchakatwe. Leo arsenal walikuwa wanastahili kabisa kichapo. Wabovu kuanzia Beki, middle hadi huyo aubameyoung wao.
Jumapili njema, kipigo chema.
Ndo nashangaa hapa.Mkitobolewa ndio unaleta maneno ya ndio mpirawengine wakifungwa huwa sio mpira ni Chereko
