Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kwahiyo unaamini livapuu hawatafungwa? Mwezi wa 5 sio mbali
Kuna mahali nimesema hawatafungwa?
Fact ni kwamba hawajafungwa.
Kwahiyo unaamini livapuu hawatafungwa? Mwezi wa 5 sio mbali
Ok pamoja mkuu nimekusomaKuna mahali nimesema hawatafungwa?
Fact ni kwamba hawajafungwa.
Ok pamoja mkuu nimekusoma
Kwa mara ya kwanza msimu huu Soton anapata ushindi wa kwanza nyumbani mbele ya timu ambayo imecheza michezo 22 bila kufungwa?Chama langu Soton lipo uwanjani leo tena nyumbani kabisa St. Mary’s nafikiri mnakijua kinachoenda kutokea
Mjiandae Kisaikolojia




Ni sawa alikuwa unbeaten concecutively game 22 alipoteza za awali mbili hivyo alikuwa sahihi.Unadhani hajui?
Ni kujipa faraja tu, hicho ni kipigo cha tatu kakutana nacho, eti alikuwa anjiita unbeaten.
uyu napili ndio namtaka haswaaaaaaaaaaaaaaahhhh ili nikuoneshe nitakavyomshughulikia
Haha mkuu Napoli mbishi mbishi ohoooh
uyu napili ndio namtaka haswaaaaaaaaaaaaaaahhhh ili nikuoneshe nitakavyomshughulikia
Wing nzur sana hii afu ni mpambanaji na umri pia mdogoPavon naskia tumesubmit offer nzuri ya £36 lakn wao wanataka £40
Anatoka timu gani na nchi ganiPavon naskia tumesubmit offer nzuri ya £36 lakn wao wanataka £40
ni muargentina huyu hata wordcup alikuwepo timu ya taifa yupo vizuri sanaAnatoka timu gani na nchi gani
ni muargentina huyu hata wordcup alikuwepo timu ya taifa yupo vizuri sana