Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BREAKING FROM :

Arsenal want to sign Nicholas Pépé from Lille as in January with a €40m + bonus bid, and then loan him back to the Lille until the end of the season.
 
"You cannot use [too many young players] in this derby because the opposition is a very big opposition and this demands from us a big performance tomorrow."

- Unai Emery
 
Beki yangu imerudi
Juzi angekwepo tungeshinda...
IMG-20181218-WA0014.jpeg
 
charlie austin 1
dan ings 2

mikhitryan 2

una lingine? karibu Gunners chuo cha soka mpira burudani bwana kama hutofurahia makombe basi utafurahia kandanda muruaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sio upande wa kule wa ukameni wao soka butubutu makombe hamna yaani vururuvururu

COYG
Kawaulize Man u habari zetu wanazo
 
Kawaulize Man u habari zetu wanazo
Liverpool 3 - 6 Arsenal
Game date: Tuesday 9 January 2007 at 19:45
Stadium: Anfield
Competition: League Cup 5th round
Attendance: 42,614
Half - time score: 1 - 4
Referee:Atkinson M
Manager:Rafa Benítez
Opposition manager:Arsène Wenger

unaikumbuka hiyo chape hapo ndio itakayokuziba mdomo
 
Naskia Emery anamtaka Danny Ings wakuu anataka kutoa Laca plus pesa zakutosha
 
Liverpool 3 - 6 Arsenal
Game date: Tuesday 9 January 2007 at 19:45
Stadium: Anfield
Competition: League Cup 5th round
Attendance: 42,614
Half - time score: 1 - 4
Referee:Atkinson M
Manager:Rafa Benítez
Opposition manager:Arsène Wenger

unaikumbuka hiyo chape hapo ndio itakayokuziba mdomo
Mkuu ninahamu sana na nyinyi njooni tu tumalize tofauti zetu mimi na ww pale Anfield niwachinje mfee mpotee hata kwenye Big4 muwaze EUROPA kama kawaida yenu
 
Hakuna haja ya mashabiki wa Arsenal kupaniki
Baada ya Arsenal kufungwa na Southampton sikuweza kuingia mtandaoni au kuandika chochote katika ukurasa huu kutokana na kuwa na majukumu mengine.
Jana usiku niliingia katika mitandao ya kijamii na kuona ya kwamba mashabiki wa Arsenal wakianza mchezo wa kumtafuta mchawi kutokana na Arsenal kupoteza mchezo huo.
Kuna wengine wanamnyooshea vidole kocha mkuu, Unai Emery kwa kupanga timu vibaya, wengine wanadai timu ilipoteza kwa kuwa Laurent Koscienly alicheza kama beki wa kati, wengine wanadai Mesut Özil ndiye tatizo, cha msingi ni kwamba asilimia kubwa ya mashabiki wameshapata mtu wa kumtupia lawama.
Huwezi ukamlaumu Unai Emery kwa kupoteza mchezo ule, ni msimu wake wa kwanza Arsenal, baada ya kufungwa michezo miwili ya mwanzo aliiongoza Arsenal kucheza michezo 22 bila ya kufungwa, Mustafi na Sokratis walikuwa wamefungiwa, Kolasinac majeruhi, Bellerin aliumia mapema, na zaidi ya yote Rob Holding ambaye kwa mtazamo wangu ndiye beki wa kati bora wa Arsenal kwa sasa ni majeruhi hadi mwisho wa msimu.
Mwalimu alikuwa na wakati mgumu na alijitahidi kuipanga timu aliyoweza.
Kwa upande wa wachezaji, kama binadamu wanaweza kuwa na siku mbaya, kila mchezaji ana mapungufu yake, lakini hicho sio kigezo cha kuwatukana na kuwazomea.
Nimeona mtu kaposti eti Koscienly auzwe kwa sababu kaisha na kuwa beki mbovu, hiki ndicho nilichomjibu, Koscienly aliumia mguu akiiteteza Arsenal, alikuwa akicheza akiwa na maumivu ya mguu lakini kutokana na Arsenal kutokuwa na mabeki katika mchezo dhidi ya Atletico Madrid,Arsene Wenger alimuomba acheze , akaamua kucheza na bahati mbaya aliumia na kupoteza ndoto yake ya kucheza kombe la dunia.
Emery amekuwa na Arsenal katika dirisha moja tu la usajili, anatakiwa apewe muda ili ajuwe ni mchezaji gani atamuamini na nani atamuacha pia wachezaji wanatakiwa wapewe muda wa kujifunza ni nini mwalimu anataka, haya mambo hayawezi kufanyika katika miezi 6.Jurgen Klop alimaliza nafasi ya nane katika msimu wake wa kwanza, Pep Guardiola hakubeba hata kombe moja katika msimu wake wa kwanza.
Wahenga walisema ya kwamba kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi na mimi naamini ya kwamba kufungwa na Southampton sio mwisho wa Arsenal na bado naamini itamaliza ndani ya nne bora.
Wito wangu kwa mashabiki wa Arsenal, tulieni kocha Unai Emery anajua anachokifanya, baada ya misimu miwili mtanona matunda yake.
Leo tunacheza dhidi ya Totenham Hotspurs katika robo fainali ya kombe la Carabao,
 
Breaking: Nicolas Pepe lands London to seal Arsenal deal
Arsenal are leading the race to sign Lille forward Nicolas Pepe, according to L’Equipe, via the Mirror.

The £45million-rated wide man is one of Ligue 1’s most exciting prospects, after a superb start to the season.

He has been linked with a number of top clubs following his scintillating run of form, with Arsenal one of those hotly-tipped to make a move for him.
Lille are thought to be open to the idea of selling arguably their most prized asset, although a January exit is not being considered.
Arsenal are, therefore, likely to have to agree a deal in advance, if they are to get their man.

Pepe has 12 goals and six assists already this season, with Lille sitting second in Ligue 1.

A wonderful solo effort against Nimes at the weekend summed up why he is rated so highly by many and he would be a great addition to Arsenal’s attack.

The 23-year-old also has three goals in eight appearances for the Ivory Coast, outlining his international pedigree.
 
Back
Top Bottom