Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Baada ya hizo game mbili ndo hajafungwa tena na wala haimaanishi unbeaten tokea msimu uanze
Basi muwe mnafafanua, unbeaten since when!
Maana ukisema tu unbeaten ukakaa kimya inajulikana ni toka mwanzo wa ligi, na tunajua ni timu moja tu ambayo ni unbeaten.
️