jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 10,962
- 10,610
Hii kitu kwa nje ni kama inaonekana sio move nzuri lakini kwa nyuma kuna mambo Mengi. Kwa jicho La kwanza: inawezekana kweli jamaa ame force kutokana na sababu zake anazo zijua mwenyewe. Na kama itakuwa hivi basi ni jambo baya na hajatumia busara kabisa.- The Washington Post
Ujinga wa nchi za Kiafrika ndo huu. Yaani nchi masikini kama Rwanda inaweza kugenerate $13M kila mwaka kuilipa timu ya Wazungu wakati vitu kama Umeme, Maji ya kuaminika, vitendea kazi shuleni na mahospitalini hakuna. Hata kama mimi ni mpenzi wa soka la Arsenal siwezi kukubaliana na ujinga kama huu. Muda si mrefu utashitukia hata sisi Tanzania tunaiga upuuzi huu.
Btw, hivi Kikwete aliwalipa kiasi gani Premier League sijui Sunderland tulipokuwa tunaiadvertise misimu miwili sijui mitatu iliyopita?
Cc. Nzi, Belo, DonDonald, Malafyale, RRONDO etc
Arsene Wenger alitukimbiza wengi sana humu...
Hope Unai atairudisha furaha yetu...
Kweli ilikuwa "doom and gloom", ila mkubwa ulipotea sana!Arsene Wenger alitukimbiza wengi sana humu...
Hope Unai atairudisha furaha yetu...
Hata angekuwa nani mkuu, ulikuwa muda muafaka kufanya mabadiliko kwenye uongozi..ni chaguo zuri, anauwezo wa kufanya kazi kwa tight budget
Ndio utandawazi huo return watakayoipata Rwanda kwenye hilo deal ni kubwa zaidi ya walicho-invest- The Washington Post
Ujinga wa nchi za Kiafrika ndo huu. Yaani nchi masikini kama Rwanda inaweza kugenerate $13M kila mwaka kuilipa timu ya Wazungu wakati vitu kama Umeme, Maji ya kuaminika, vitendea kazi shuleni na mahospitalini hakuna. Hata kama mimi ni mpenzi wa soka la Arsenal siwezi kukubaliana na ujinga kama huu. Muda si mrefu utashitukia hata sisi Tanzania tunaiga upuuzi huu.
Btw, hivi Kikwete aliwalipa kiasi gani Premier League sijui Sunderland tulipokuwa tunaiadvertise misimu miwili sijui mitatu iliyopita?
Cc. Nzi, Belo, DonDonald, Malafyale, RRONDO etc
Huyo draxler mfumo wa arsenal ungemfaa sana sijui kwanni alienda PSG akaikata Arsenal!!! Bora wamsajili ataibeba timu sanaNi mfumo anaoupenda EmeryView attachment 784276
Hata mm pia...ikiwa kweli itakuwa utani wa hali ya juu...jamaa kazidiwa kila kitu na Elnenyhili la bigfela limenistua daaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh
hili la bigfela limenistua daaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh
Hata mm pia...ikiwa kweli itakuwa utani wa hali ya juu...jamaa kazidiwa kila kitu na Elneny
Hahaha eti AW hajaondoka...ila all in all sijui ni mapendekezo ya nan huyu...kama ni kocha,yajayo yanafurahisha...Angalau wenzangu mmeshtuka tu mimi nimefadhaika sana nikawaza labda AW hajaondoka bado,Mungu atunusuru na dhahama hii.