Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

New Gooner
Welcome to Arsenal Lichtsteiner.
IMG_6502.JPG
 
Hahaha eti AW hajaondoka...ila all in all sijui ni mapendekezo ya nan huyu...kama ni kocha,yajayo yanafurahisha...
Sasa sokoni kuna jean-seri,arturo vidal,nzozi huyu bigfela wa kazi gani pale au ndio bajeti so bora bureeeeeeee kumbuuka bure ghali
 
Kama kawaida yetu tunavizia free agent au hasizidi £ 20m,tulisema kua budget yetu ni sarafu ya mboga kuna mwenzetu akasema zipo nyingiiiii
 
Yawezekana ni kutokana na kumwaga pesa kwenye usajili wa lacazette na auba...naona pesa imepungua si kawaida na wanataka ku-compensate kwa njia hizo....aisee AW kaondoka kimwili ila kiroho yuko pale.
 
Kama kawaida yetu tunavizia free agent au hasizidi £ 20m,tulisema kua budget yetu ni sarafu ya mboga kuna mwenzetu akasema zipo nyingiiiii

Arsenal itacheza Europa league msimu ujao hivyo haihitaji wachezaji wenye gharama kubwa.

Nafikiri hiyo ndiyo approach yao kwa sasa kwenye transfer market.
 
Kwa hiyo epl nako kumekaaje?
 
Arsenal itacheza Europa league msimu ujao hivyo haihitaji wachezaji wenye gharama kubwa.

Nafikiri hiyo ndiyo approach yao kwa sasa kwenye transfer market.
Inasajili wachezaji wa gharama ndogo ili ishiriki uropa tena 2019-2020???!!!...hii kasumba nimeikataa..
 
Kikosi kinanolewa kucheza mpira uso wa kurembesha na akipatika mchezaji mwingine pale kti kama Jean Michael Seri, basi Arsenal watakuwa kule juu kwenye msimamo wa ligi.

Lucas Prez nae karudi, kama wamkumbuka.
Namkumbuka lucas perez ngoja kocha apewe muda hukumu za mapema ni mbaya kuna makocha huwa wanafanya vizur ktk bajet ndogo tutamhukum baadae akiba ya maneno ni muhimu.
 
Arsenal itacheza Europa league msimu ujao hivyo haihitaji wachezaji wenye gharama kubwa.

Nafikiri hiyo ndiyo approach yao kwa sasa kwenye transfer market.

Ok ok...!tuachane na ubingwa EPL kwa mtazamo huu ina maana hata ndoto ya kurudi top 4 hatuna ili kupigania UCL spot 2019/20.
 
Ndiyo hivyo tena, watu tulikuwa tunamwonea Arsene Wenger bure tu na kumsema vibaya kwamba ana mkono wa birika.

Kumbe hii kitu mkono wa birika imo kwenye DNA ya bodi ya Arsenal na Stan Kroenke.
Yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom