Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa aina ya usajili tunaofanya Arsenal bila Shaka zile tetesi kuwa tumetengewa £50 million za usajili ni za kweli. Yaani kwa bajeti hiyo nadhani tukijitahidi sana huenda tukaishia nafasi ya 5 kwenye EPL next season.
 
Kwa aina ya usajili tunaofanya Arsenal bila Shaka yzile tetesi kuwa tumetengewa £50 million za usajili ni za kweli. Yaani kwa bajeti hiyo nadhani tukijitahidi sana huenda tukaishia nafasi ya 5 kwenye EPL next season.

Arsenal msimu ulopita ilifungwa magoli 51 kwa ujumla na hayo yote yalitokana na poor defence pamoja na kipa na sehemu ya kiungo kupwaya.

Hivyo katika kuhakikisha Arsenal msimu ujao inakuwa imara imeamuliwa kwanza kusajili mabeki wazoefu wawili, kipa na huenda mchezaji mmoja wa kiungo.

Mabeki wawili mshahara wanasajiliwa na kiungo huenda akaongezwa Jean-Michael Seri kutoka Nice.

50 imetamkwa tu lakini kuna uwezekano ikaongezwa kufikia hata 80M
 
Wameongeza 20m so mzigo upo 70m wanategemea kupunguza mizigo ili kufund huo mshiko so malengo yatatimia tu
 
Ndiyo hivyo tena, watu tulikuwa tunamwonea Arsene Wenger bure tu na kumsema vibaya kwamba ana mkono wa birika.

Kumbe hii kitu mkono wa birika imo kwenye DNA ya bodi ya Arsenal na Stan Kroenke.
Mimi huyu stan kroenke sitak hata kumsikia matatzo yote yanaanzia kwake, bora timu angekuwa nayo usmanovic
 
Arsenal watoa uzi mpya

Screen-Shot-2018-06-07-at-09-56-13_trans_NvBQzQNjv4BqqiUuvBizZT2q34Osm0tNw9ySjB96v49XidRKUSUfrDI.png

Mesut Ozil , Pierre- Emerick Aubameyang na Aaron Ramsey wakiwa wamevalia jesi hizo.

Arsenal leo wametoa jezi mpya za mechi za ugenini kwa msimu wa 2018/19

Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya Puma ya Ujerumani na ambao wanaingia mwaka wa mwisho wa ufadhili kwa Arsenal.

Jezi hizo zitavaliwa na Arsenal katika mechi ya kirafiki kati yake ni Athleico Madrid Julai 26 nchini Singapore.
 
Aisee kwny kits tunajitahidi sana
 
Torreila nadhani tayari....pia yule mgiriki wa Dortmund naye deal inaelekea kuwa done
 
Duuh JF kweli kutoweka kwake ilikuwa MSIBA...Updates za usajili nilizikosa. Hapa ndio centre maridhawa ya updates. Viva JF
 
Back
Top Bottom