Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Arsene Wenger alitukimbiza wengi sana humu...
Hope Unai atairudisha furaha yetu...
Hope Unai atairudisha furaha yetu...
Ina msisimko na pia ina ushindani wa wao kwa wao. Swala la ubora ni subjective kidogo.Sawa, pia waweza linganisha upande wa timu zipi angalau mara kadhaa zinafika mbali.
Kama ni ligi kutokuwa na mwenyewe ndio ubora, hata ligi ya Kenya haina mwenyewe.
Ligi ya EPL sikatai, ndio yenye MSISIMKO mkubwa.
Hapo umenena.Ina msisimko na pia ina ushindani wa wao kwa wao. Swala la ubora ni subjective kidogo.
but mbona hizi timu zikikutana na timu za nje eg SEVILLA,MONACO, hali inakuwa tete????????Ina msisimko na pia ina ushindani wa wao kwa wao. Swala la ubora ni subjective kidogo.
karibu tena sisi wafia kilabu tupoArsene Wenger alitukimbiza wengi sana humu...
Hope Unai atairudisha furaha yetu...
Ndio maana nikasita kuweka ubora kwenye hoja, lakini kama ukiangalia vizuri, timu za Uingereza zinapata tabu kwa timu za Uhispania na Ujerumani. Ila wakikutana na Italia inakuwa rahisi zaidi.but mbona hizi timu zikikutana na timu za nje eg SEVILLA,MONACO, hali inakuwa tete????????
asenali ina average players!!!! hujui maana ya hilo neno naona..Talent peke yake haitoshi kukupa vikombe, pesa peke yake haitoshi kukupa vikombe. Its the combination of both. Manu wamekusanya kikosi ghali zaidi lakini wameshindwa kuchukua hata kombe moja sawa na Arsenal ambayo ina average players.
Acha ushabiki.
Ubora upime kwa kutumia mashindano wanayokutana, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA, na hata mashindano ya timu za taifa, wachezaji wanaoccheza ligi zipi kwa wingi timu zao hufanya vizuri.
ACHENI USHABIKI MANDAZI. Usilete ushahidi wa ETI liver mbona msimu huu kaingia fainali. Inakuaje Seville au Atretico Madrid timu inayojipapatua kujaribu kuvunja ufalme wa "timu mbili" Spain, zinasumbua timu kubwa za ligi zingine.
Bundesliga ni bora zaidi ya EPL, mahaba yako kwa EPL ni ya kwako wewe. Na Seria A itachukua nafasi ya EPL very soon.
Inakuwaje wewe kama uko ligi yenye upinzani, ukicheza na hao maboya wanakupeleka puta?? Iko hivi, EPL ina upinzani kwa timu zake zenyewe kwa zenyewe ila inapokuja wao kushindana na wa ligi nyingine wao ni maboya tu.Hivi Nani Mshabiki Maandazi Hapa Kama Sio Wewe?
Yana Hata Msimu unaofuata Wa 2018/19 Haujafika Basi Dunia Nzima Tumeshajua Kama Bingwa Ni Bayern Halafu Unajadili Ubora?
Bingwa Asiye na Mpinzani Wewe Unaita Anacheza Ligi Bora?
Mkuu Ubora Kwanza Unaanzia Kwenye Ushindani!!
You Can't be serious bro!
Kwa bajeti ipi mkuu wachezaji hawa?? Au tunachukua kwa mikopo??Huu usajili wa griezman naomba ufanikiwe haraka kwenda barca maana jamaa wakimpata tu basi wanamtoa dembele kwa mkopo so tukifanikiwa kumpata ousmane kwa msimu ujao aaaaah tutakuwa vizuri sana.......
waliopo ktk rada zetu ni makipa sergio ricco wa sevilla,bernad leno wa liverkusen,mabeki lichtsteiner wa juve,alex vidal,soyuncu,socratis wa bvb,john evance, viungo ni steven N'zonzi,jean seri wa nice,pellegrin wa roma,
mkuu lakini mbona la riga tunajua kuwa mapapa ni wawili tu ambao bila ya kuwataja nadhani kila mtu anawajua na ligi yao ni bora?sasa hii ina tofauti gani na seria a na bundasliga ambapo mambo ni hayohayo,kwa upande wangu mi naona epl ndio ipo kipekee maana unaweza kuta WOLVESAMPTON au CARDIFF CITY wanapanda daraja then wanachukua kombeHivi Nani Mshabiki Maandazi Hapa Kama Sio Wewe?
Yana Hata Msimu unaofuata Wa 2018/19 Haujafika Basi Dunia Nzima Tumeshajua Kama Bingwa Ni Bayern Halafu Unajadili Ubora?
Bingwa Asiye na Mpinzani Wewe Unaita Anacheza Ligi Bora?
Mkuu Ubora Kwanza Unaanzia Kwenye Ushindani!!
You Can't be serious bro!
huyo Lichtsteiner naona deal linaelekea kuwa doneHuu usajili wa griezman naomba ufanikiwe haraka kwenda barca maana jamaa wakimpata tu basi wanamtoa dembele kwa mkopo so tukifanikiwa kumpata ousmane kwa msimu ujao aaaaah tutakuwa vizuri sana.......
waliopo ktk rada zetu ni makipa sergio ricco wa sevilla,bernad leno wa liverkusen,mabeki lichtsteiner wa juve,alex vidal,soyuncu,socratis wa bvb,john evance, viungo ni steven N'zonzi,jean seri wa nice,pellegrin wa roma,
yap OUSMANE anatolewa kwa mkopo baada ya kuonekana kuwa kiwango chake kimesuasua toka aanze kuitumikia barca na taarifa zaidi zinadokeza kuwa jamaa amekuwa ana utovu wa nidhamu kwani anapenda sana starehe kupindukia na hii imepelekea kiwango kushuka na kukosa nafasi ktk kikosi cha kwanza licha ya usajili wake kuwa ghali sana......Hivyo barca kama wanataka kumpa talaka rejea ili aende akajirekebishe ili kama akishindwa kubadilika na kurejea ktk kiwango chake basi atapigwa bei...lakini hili litafanyika iwapo tu mipango yao ya kumsajili ANTONIO GRIZMAN itakamilikaKwa bajeti ipi mkuu wachezaji hawa?? Au tunachukua kwa mikopo??
wekeni vigezo vya ubora wa ligi tupime hapahapa ubishi uisheAcha ushabiki.
Ubora upime kwa kutumia mashindano wanayokutana, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA, na hata mashindano ya timu za taifa, wachezaji wanaoccheza ligi zipi kwa wingi timu zao hufanya vizuri.
ACHENI USHABIKI MANDAZI. Usilete ushahidi wa ETI liver mbona msimu huu kaingia fainali. Inakuaje Seville au Atretico Madrid timu inayojipapatua kujaribu kuvunja ufalme wa "timu mbili" Spain, zinasumbua timu kubwa za ligi zingine.
Bundesliga ni bora zaidi ya EPL, mahaba yako kwa EPL ni ya kwako wewe. Na Seria A itachukua nafasi ya EPL very soon.
wekeni vigezo vya ubora wa ligi tupime hapahapa ubishi uisheAcha ushabiki.
Ubora upime kwa kutumia mashindano wanayokutana, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA, na hata mashindano ya timu za taifa, wachezaji wanaoccheza ligi zipi kwa wingi timu zao hufanya vizuri.
ACHENI USHABIKI MANDAZI. Usilete ushahidi wa ETI liver mbona msimu huu kaingia fainali. Inakuaje Seville au Atretico Madrid timu inayojipapatua kujaribu kuvunja ufalme wa "timu mbili" Spain, zinasumbua timu kubwa za ligi zingine.
Bundesliga ni bora zaidi ya EPL, mahaba yako kwa EPL ni ya kwako wewe. Na Seria A itachukua nafasi ya EPL very soon.
wekeni vigezo vya ubora wa ligi tupime hapahapa ubishi uisheAcha ushabiki.
Ubora upime kwa kutumia mashindano wanayokutana, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA, na hata mashindano ya timu za taifa, wachezaji wanaoccheza ligi zipi kwa wingi timu zao hufanya vizuri.
ACHENI USHABIKI MANDAZI. Usilete ushahidi wa ETI liver mbona msimu huu kaingia fainali. Inakuaje Seville au Atretico Madrid timu inayojipapatua kujaribu kuvunja ufalme wa "timu mbili" Spain, zinasumbua timu kubwa za ligi zingine.
Bundesliga ni bora zaidi ya EPL, mahaba yako kwa EPL ni ya kwako wewe. Na Seria A itachukua nafasi ya EPL very soon.
Arsenal atatufaa kama hana nidhamu??yap OUSMANE anatolewa kwa mkopo baada ya kuonekana kuwa kiwango chake kimesuasua toka aanze kuitumikia barca na taarifa zaidi zinadokeza kuwa jamaa amekuwa ana utovu wa nidhamu kwani anapenda sana starehe kupindukia na hii imepelekea kiwango kushuka na kukosa nafasi ktk kikosi cha kwanza licha ya usajili wake kuwa ghali sana......Hivyo barca kama wanataka kumpa talaka rejea ili aende akajirekebishe ili kama akishindwa kubadilika na kurejea ktk kiwango chake basi atapigwa bei...lakini hili litafanyika iwapo tu mipango yao ya kumsajili ANTONIO GRIZMAN itakamilika
yah jamaa anatakiwa aje kumsaidia bwana mdogo pale ubavu wa kulia maana dogo ametuka sana msimu uliopita na hali hii ilimpelekea kuchoka mpaka muda mwingine kuonekana anacheza chini ya kiwango so hii itakuwa backup nzurihuyo Lichtsteiner naona deal linaelekea kuwa done