Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wekeni vigezo vya ubora wa ligi tupime hapahapa ubishi uishe
Perfomance za timu ktk mashindano ambayo hukutana kama UCL, europa, nani hufanya vizuri zaidi hata kufika mbali na pia wachezaji wa ligi hiyo wana mchango gani ktk timu zao za taifa.
 
Inakuwaje wewe kama uko ligi yenye upinzani, ukicheza na hao maboya wanakupeleka puta?? Iko hivi, EPL ina upinzani kwa timu zake zenyewe kwa zenyewe ila inapokuja wao kushindana na wa ligi nyingine wao ni maboya tu.

Alafu usochanganye haya maneno, yana tofauti kubwa sana. UBORA na MSISIMKO.
mfano mzuri SEVILLA,VALENCIA,VILLAREAL,REAL SOCIEDAD na ATHLETIC CLUB zikikutana na hizo top club za epl mziki wake mnene
 
Acha ushabiki.
Ubora upime kwa kutumia mashindano wanayokutana, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA, na hata mashindano ya timu za taifa, wachezaji wanaoccheza ligi zipi kwa wingi timu zao hufanya vizuri.
ACHENI USHABIKI MANDAZI. Usilete ushahidi wa ETI liver mbona msimu huu kaingia fainali. Inakuaje Seville au Atretico Madrid timu inayojipapatua kujaribu kuvunja ufalme wa "timu mbili" Spain, zinasumbua timu kubwa za ligi zingine.
Bundesliga ni bora zaidi ya EPL, mahaba yako kwa EPL ni ya kwako wewe. Na Seria A itachukua nafasi ya EPL very soon.
Pumba.
 
Perfomance za timu ktk mashindano ambayo hukutana kama UCL, europa, nani hufanya vizuri zaidi hata kufika mbali na pia wachezaji wa ligi hiyo wana mchango gani ktk timu zao za taifa.
kwa mantiki huyo,naona la liga pekee ndo aliyemzidi EPL.
 
Kwani Mani yuu nao wanaongea humu ndani?? Wakae kimya tuu pamoja na kuwa na kikosi chenye wachezaji bora hata kombe la mbuzi hawajapata kama aseno tuu, kutoka makombe matatu msimu iliopita mpaka makombe bashite bora wakae kimya kuliko kujifanya mnamchambua Emery wetu
 
cc tuna community shield mkuu
 
Lichtsteiner was at Colney holding talks with [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG] earlier today. Deal is not done yet and the next few hours will be decisive.
 
Mambo ni
IMG_20180526_100529_944.jpg
 
Back
Top Bottom