Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,555
Mkuu Masanilo...ni kweli umewataja lakini neno "almost" na pale ulipoishia etc etc etc inaonesha si hao tu bali na wengineo ambao ni wengi mno.......
Nadhani tunaendelea vyema tu, tukithamini sana michango yako maana inatufanya kujifunza na kufurahia, tukiamini wewe ni kati ya watu waliopo juu katika hii fani ya michezo, i mean ni kati ya watu ambao, binafsi, nawaheshimu katika michango yao ya kimichezo maana hunifanya kujifunza na kufurahia------
Nimekusoma kiongozi! Leo vipi Barca na Inter?