Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii loss ni wake up call.

Brighton wamecheza exactly walivyocheza na nyumbu ni kama vile Arteta hiyo mechi hakuiona. Hawa jamaa wanapiga one two, wanafanya gegenpress, wanafanya swarming kwenye goli.

Kila walichokua wanafanya leo kilitakiwa kifanywe na timu inayotaka ushindi.

Magoli mawili ya nje ya 18 yalishaonyesha kwamba mid yetu imezidiwa, lakini pia leo ni ushahidi kwamba Rice na Bruno hawatakiwi kuanza. Labda wajirekebishe siku zingine huko.

Wote walikua wanaliacha dimba, hii ikasababisha magoli mawili. Mabeki wetu walikua wanakimbilia kuingia ndani ya boksi wakidhani Brighton ina mpango wa kuingia ndani ya boksi. These guys just smashed the ball nje ya 18.

Chuma mbili zikaitika.

Same pattern, kwenye mid wanapita kama hakuna mtu, isolated player anapata mpira. Defense yetu inarudi nyuma mtu anageuka anasmash mpira.

Ambaye alitakiwa amsakame huyu anayepiga mpira ni Bruno na Rice lakini by this time wapo mbele huko wameachwa na one two za hawa watu. So lilivyoingia goli la pili kwa pattern ileile means tunahitaji CM ambaye atakua hasogei mbele.

Nikaamini Skelly inabidi aingie.

Kocha akaingiza Merino na Eze. Two slow players.

Kwa upande wangu suba hazikua sahihi. Lakini pia kuna kanuni ya kuchagua timu inayosema usibadili kikosi cha ushindi.

Kama tayari Skelly na Rice wamesettle na kuelewana ilikua haina haja kutest mitambo kwa timu ambayo inamove fluidly kwa sasa kama Brighton.

Leo jamaa wametuweza kote. Positive ni kujua tu kwamba na sisi tunafungika na hii ni mechi ya tano so tujishikilie
 
Watu walikuwa wanatusubiria sana tupigwe aisee. Daah. Sijawahi kuona notifications nyingi kwenye JF yangu kama leo hii.

Bahati nzuri ni kwamba kama kawaida, siku tukifungwa ndiyo kazini mambo yanakuwa chungu mzima zaidi na zaidi. Hapa tayari naingia mzigoni hivyo naweza kushindwa kuingia humu kwa siku kadhaa, mpaka nilazimishe sana.
Maliza kubeba box ukuje utueleze kwa undani kichapo kilivyokuwa kitamu.
 
Kwa hiyo ulikua unaamini kabisa hamfungiki??!! aisee
 
Arteta ni tapeli tu..... huu msimu wa ngapi? Alafu ana EPL moja tu ....

Bodi imemmbeba sana, khs mambo ya usajili ! Yeye anachojua ni mabeki tu basi, kule mbele amna kitu! Saka kuna muda anacheza kama amepiga nyeto, Ode mpaka aamke vizuri hana kiwango consistently.... kai kichaa, Victor kichaa ! Huyo troliz ni Garnacho aliyechangamka ! Eze baridi kabisa , bishoo utadhani ana b'dor 10.......

Mid yenu inanipa mashaka..... rice jana anacheza kama kajinyea.....

Zile chuma nje ya 18 kubabake, ndio maana Raya kule NT anakalia mbao ndefu mbele ya Unai
 
Kusema kweli japo tunalaumu beki na mido. Raya naye kachangia. Poor positioning.
 
Kaka kwaio huyo Jesus hana mapungufu kabisa? Sasa mbona Guardiola alimuacha akaleta Haaland
Mapungufu anayo, kwa haland ni sahihi, haland anakupa product ya striker ambayo ni magoli, vingi utakosa kwake atakupa magoli, hapa anamzidi gabriel pamoja na fitness..

Haland ni bora kwa jesus, ila jesus ni bora zaidi kwa kai na gyokeres..

Jiulize kai na gyokeres wanagusa level za halaand jibu jepesi ni hakuna.
 
Kwenye soka la kisasa unaweza ukawa na vingi sana ila kama ukiwa hauko available mda mwingi thamani yako inashuka

Partey alikua mzuri

Jesus alikua mzuri

Tulikua na Tomiyasu

Hao wote injury imefanya tuwape mkono wa kwa heri
Ishu ya injury nakubaliana nayo ila sio hayo mengine, partey ni bora kwa zubimendi, jesus ni kwa hawa vinega tulio nao..

Tomiyasu si bora kuliko tulionao na ndio maana kuuzwa kwake ama kutokucheza kwake haikuwa kesi ni mzuri, lakini anazidiwa na wengine pale hivyo ukijumlisha na majeraha yake haina haja kuwa nae. .
 
Watu walikuwa wanatusubiria sana tupigwe aisee. Daah. Sijawahi kuona notifications nyingi kwenye JF yangu kama leo hii.

Bahati nzuri ni kwamba kama kawaida, siku tukifungwa ndiyo kazini mambo yanakuwa chungu mzima zaidi na zaidi. Hapa tayari naingia mzigoni hivyo naweza kushindwa kuingia humu kwa siku kadhaa, mpaka nilazimishe sana.
Hao watakuwa Mashabiki Chelsea,Man UTD,Tottenham,Newcastle na Man city pia(Liverpool hayupo)... Km wa Chelsea na Man UTD wamekuja kutoa stress zao umu sbbu ya trending mbaya ya ma timu yao inayonusurika kushuka daraja msimu zaidi10 sasa😸🤓🤓
 
Bado tunalilia 😪😢😭😥😠😞

6 losers from Arsenal's brutal loss in Brighton
1. David Raya
David Raya is the best goalkeeper in the world, but he didn't play like it in Brighton today. Both of Brighton's first-half goals were almost entirely his fault. It was like he was allergic to his goal-line, first beaten at his near-post and secondly reacting far too late to the shot. In the first half, Brighton produced just 0.33 xG, but by that point, Raya had already conceded twice.

2. Bruno Guimaraes
When we were in possession, he looked fine, but it was out of possession that truly irked me with Bruno Guimaraes. He provided absolutely nothing when Arsenal weren't on the ball; when applying pressure, he was the stark opposite of the Brighton midfielders who were more up for it today.

3. Christos Tzolis
Hasn't looked like himself since GW1, if we're being completely honest. Perhaps we overreacted to his Premier League debut, but my, oh my, with the weight of the world on his shoulders, he's struggling to get even a second rep.

4. Gabriel
Conceding three as a defender is never a good look, but Gabriel can have no complaints about the outcome given how he played. Dispossessed a total of three times; it was three times too many. He backed away from the ball for Brighton's second and stood idle as they slotted home from a corner for their third. He's seen some dark days at Arsenal, and this is one of them.

5. Bukayo Saka
Arsenal's attack was hardly to blame, but then again, they didn't score. Bukayo Saka was highly (and frustratingly) ineffective for the Gunners.

Aside from a few average corners, Saka did nothing to turn this game around. Came off with 10 minutes of regular time to play.

6. Martin Odegaard
Only lasted 73 minutes, but he was lucky to even make it that far. Virtually zero involvement from the captain today. In games like this, where there is little space to operate, you turn to Odegaard. He didn't want to be turned to today, a true shame.

1 winner for Arsenal
1. Kai Havertz
We are picking from a pretty awful bunch, but one player should be spared from the embarrassment. Kai Havertz was Arsenal's best player, with his physicality helping the Gunners out on a few occasions. He had the chance to score one with a one-on-one, but it would have been a consolation goal at best.

It's not a standout performance he'll write home about, but he stood out nonetheless.

Msimu uliopita mlipata ubingwa kwa huruma ya pep
 
Attachments

  • vdfr_1789921656332.mp4
    1.2 MB
HSqOs7NW0AAbNQg.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom