Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nipo Chifu...

Sema performance ya timu inanifanya nijiweke kando ingawa nakuwa msomaji zaidi..Ninkweli jana timu imecheza vizuri ingawa Everton sio kipimo kizuri cha ubora wa timu..Wangecheza vile kwa mojawapo ya timu 5 za juu ningewakubali zaidi...

All in all asanteni sana kwa Mikhi...


Wewe unajua Mpira si Kama wale Walioleta Tafrani Kwa Kumfunga Everton ambaye tayari ni Maiti.
 
Hivi yule Rambo alikuwemo au Wavietnam Wamemteka? 😀 😀
ec8b5f0c6394ddc7934b7bda288d18e8.jpg
 
ndugu zangu arsenal hii hali imeanza tena?
 

Attachments

  • IMG_20180210_214403_927.JPG
    IMG_20180210_214403_927.JPG
    51.5 KB · Views: 57
  • IMG_20180210_214414_756.JPG
    IMG_20180210_214414_756.JPG
    33.9 KB · Views: 53
  • IMG_20180210_214426_878.JPG
    IMG_20180210_214426_878.JPG
    35.8 KB · Views: 50
hilo goli moja tulibahatika tu, wale wadude walikuwa wanatengeneza nafasi za kutufunga kila mara, bahati haikuwa kwao, leo tungelia 5 pengine
Nilikuwa natizama kupitia mobdro yule mwarabu nilisikia akisema sana neno KHAMSA sasa kwa andiko lako hili nimemuelewa.nyanda wenu jana alikuwa timamu pana moja erikson kampeleka mawinguni akaenda kuupa daraja ilikuwa tamu sana.
 
Mkuu Sarah!!! ni nani? Na hata kama ulikuwa unamaanisha Salah unataka kumfananisha na nani hapo kwenu? Ingekuwa haya maneno ya ushabiki wenu yangekuwa realistic mngekuwa mnacheza UEFA na mngekuwa angalao mna kikombe kimoja cha ligi katika miaka hii 14. Mbaya zaidi huyu anaeongea hapa timu yake ilikuwa nafasi ya 3 sasa iko ya 6
Wewe upo nafasi ya ngapi?
 
Msishangae ndo mtu wenu huyo jana hiyo hamna alichokifanya uwanjani zaidi ya kucheza 90' .

IMG-20180211-WA0005.jpg
 
ukweli usemwe, hawa Totnham wako vema ukifungwa nao goli moja shukuru Mungu. Wakishika mpira roho juu juu.
 
Back
Top Bottom