Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie msijitie mmesahau na huku mechi ijayo mpo na Totenham kwao ooohhh...!!!‍♂️‍♂️
Sasa kwani mechi tayari????subiri tuwanyooshe hao wababe wenu

Formation:4-3-3

Cech

Berelin
Mustaf
Kos
Nacho

Xhaka
Ramsey
Mkhi

Ozil
Laca
Auba

Sub

Saed
Ospina
Willpower
Maitland
Chamberz
 
Sasa kwani mechi tayari????subiri tuwanyooshe hao wababe wenu

Formation:4-3-3

Cech

Berelin
Mustaf
Kos
Nacho

Xhaka
Ramsey
Mkhi

Ozil
Laca
Auba

Sub

Saed
Ospina
Willpower
Maitland
Chamberz

Mkuu ni Ushauri Wa Kisport kabisa! Jaribu Kuwa Mpole.
Mtazame [HASHTAG]#Moratta[/HASHTAG], [HASHTAG]#Lukaku[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Lacazette[/HASHTAG] ni Kinyume na Walivyotarajiwa.
Kwahiyo na kuhusu [HASHTAG]#Auba[/HASHTAG] subiri kwanza angalau apate Michezo 10 ndiyo uanze Kumrate.
Ni ushauri tu! Hii ni [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] mkuu inaina vituko na maajabu Yake.
 
Ukitaka kuona there is a Change's in Arsenal ni huu usajili wa Aubameyang 'n Mkhitaryan ilikuwa sio rahisi kwa Arsenal kuacha £35M kwa Sanchez halafu wakakubali kufanya swap na Manyumbu ukirejea kwenye deal la Aubameyang kutokana na policy za usajili za Arsenal kumsajili mchezaji mwenye miaka 28 na gharama kubwa kwa klabu na kuwa na re-sale value ndogo ni kitu nadra sana kufanywa na Arsenal
 
Na wenger na Gazdis haziivi saivi coz Gazidis anafanya anachotaka anabadili kitu anachoona hakiendi sawa mpaka wakina aubemiyang wenger yeye alkuwa anasema haiwezekani tulete mchezaji wa miaka 28 kwa €60 gazdis akamwambia acha utani babu..na ndo kinachomwondosha wenger arsenal kutotaka hao watu aliowaondosha Gazdis... ndio maana Ramsey kawekewa mkataba mezani kaambiwa ufikirie kama hutaki kusaini summer unapigwa bei hayatokei tena ya alexis mi naona Gazdis angeangalia napo swala la Daktari wa misuli maana sidhani kama wa kwetu wako vzuri hamstring imetuwekea wachezaji wengi sana nje ya uwanja....kocha bado anatafutwa wa kumreplace wenger
 
Ukitaka kuona there is a Change's in Arsenal ni huu usajili wa Aubameyang 'n Mkhitaryan ilikuwa sio rahisi kwa Arsenal kuacha £35M kwa Sanchez halafu wakakubali kufanya swap na Manyumbu ukirejea kwenye deal la Aubameyang kutokana na policy za usajili za Arsenal kumsajili mchezaji mwenye miaka 28 na gharama kubwa kwa klabu na kuwa na re-sale value ndogo ni kitu nadra sana kufanywa na Arsenal

Ngoja tuweke akiba ya maneno muda ni hakimu tutajua wajanja na manyumbu
 
Mkuu ni Ushauri Wa Kisport kabisa! Jaribu Kuwa Mpole.
Mtazame [HASHTAG]#Moratta[/HASHTAG], [HASHTAG]#Lukaku[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Lacazette[/HASHTAG] ni Kinyume na Walivyotarajiwa.
Kwahiyo na kuhusu [HASHTAG]#Auba[/HASHTAG] subiri kwanza angalau apate Michezo 10 ndiyo uanze Kumrate.
Ni ushauri tu! Hii ni [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] mkuu inaina vituko na maajabu Yake.
Waafrika wana njaa wewe sio kama hao uliowataja mayai mayai ,unamuona Mo Sarah anavyokinukisha?????mcheki Mane........naisubiri hiyo london derby daaaaah
 
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo hicho kwenye mchezo wa jumapili huko Liverpool na kusababisha mwamuzi kutoa adhabu ya penalti.
Mchezaji mwingine ambaye anatuhumiwa kufanya kitendo hicho ni Harry Kane, alifanya hivyo kwa mchezaji Virgil van Dijk wa Liverpool na kusababisha mpira wa adhabu

Wenger amesisitiza kwamba anakumbuka kumekuwa na kesi za wachezaji kutoka nje ya Uingereza, lakini wachezaji wa Uingereza sasa wameiga tabia hiyo na wamekuwa vinara wa matukio hayo kuliko wachezaji wengine.
 
Mechi ya kesho wala sina wasiwasi. Arsenal ndio timu pekee yenye rekodi ya kuutumia uwanja wa Wembley vizuri na kwa mafanikio.
Nina hakika kesho Totenham analoa 4 kwa ubuyu.
Ila nadhani Wenger angekuwa anamuamini Maintland Niles maana dogo ni fundi wa kukaba na kudrible.
 
Sasa kwani mechi tayari????subiri tuwanyooshe hao wababe wenu

Formation:4-3-3

Cech

Berelin
Mustaf
Kos
Nacho

Xhaka
Ramsey
Mkhi

Ozil
Laca
Auba

Sub

Saed
Ospina
Willpower
Maitland
Chamberz
Na wewe mbabe wako mimi, iko poa!
 
Ukitaka kuona there is a Change's in Arsenal ni huu usajili wa Aubameyang 'n Mkhitaryan ilikuwa sio rahisi kwa Arsenal kuacha £35M kwa Sanchez halafu wakakubali kufanya swap na Manyumbu ukirejea kwenye deal la Aubameyang kutokana na policy za usajili za Arsenal kumsajili mchezaji mwenye miaka 28 na gharama kubwa kwa klabu na kuwa na re-sale value ndogo ni kitu nadra sana kufanywa na Arsenal
PhotoGridLite_1518175685420.jpg
 
Wenger out conte in

" Arsenal wamchukue Conte "

Arsenal wafanye maamuzi haraka sana na kumnasa Antonio Conte kama mbadala wa Arsene Wenger kama Muitaliano huyo akiondoka Chelsea, kwa mujibu wa mchezaji wa zamani wa Arsenal, Paul Merson.

Licha ya kutwaa taji la ligi kuu ya soka ya Uingereza msimu uliopita, Conte yupo kwenye presha kubwa sana ndani ya Chelsea baada ya mfululizo wa matokeo mabovu - hivi karibuni ikiwa kichapo cha 4-1 dhidi ya Watford.

Wenger alisaini mkataba wa miaka miwili majira ya kiangazi yaliyopita, lakini Merson anafikiri kwamba mambo yanayoendelea nyuma ya pazia yanaonyesha kwamba utawala wa Wenger unafikia kikomo mwishoni mwa msimu huu.

" Siku ambayo Conte ataondoka Chelsea , kama ningekuwa pale Arsenal , haraka sana ningekuwa kwenye simu ."

" Kocha kama Conte huwa hawapatikani kirahisi"

" Arsenal wanahitaji mtu ambaye ataenda pale na kuwaudhi watu . Conte anaudhi watu kwa chanya lakini. Anataka wewe ucheze kwa utaratibu fulani na atakufanya uwe mgumu katika safu ya ulinzi. Pindi Arsenal watakapokuwa wagumu kwenye safu ya Ulinzi, watakuwa hatari sana."

" Nafikiri Arsenal wangesema," Tutakuwa na wewe msimu ujao " Nafikiri watakuwa machizi kama watamkataa."

" Nafikiri Conte atanatiki visanduku vyote. Arsenal hawawezi kuendelea kukosa makocha wote kama hawa. Huwezi kuniambia eti Guardiola asingependa kufundisha Arsenal. Kama angekuwa na fursa kwa maoni yangu angeenda Arsenal."

"Jurgen Klopp, Jose Mourinho wote wameenda kwa wapinzani wa Arsenal kwasababu Wenger alikuwa pale amekalia kiti cha Meneja badala ya kusema muda sahihi umefika wa mimi kuachia ngazi."

" Na pia kuna makocha wa daraja la juu kama Massimiliano Allegri ndani ya Juventus , lakini anaweza kuja na inaweza kumchukua mwaka mmoja kuzoea ligi ya Uingereza - kama ilivyokuwa kwa Klopp."

Merson anafikiria kwamba Wenger huenda akaondoka mwishoni mwa msimu hasa kwa kuangalia usajili wa Pierre-Emerick Aubameyang kama Mfano wa Wenger kupoteza umiliki wake na nguvu ndani ya klabu.

" Kwangu mimi huu usajili hauonekani kama wa Arsene Wenger."

" Ni lini aliwahi kununua mchezaji mwenye umri wa miaka 29 kwa Pauni Milioni 60 ?

" Sir Alex Ferguson alifanya hivyo miaka kadhaa iliyopita, alisema kwamba anataka kutwaa taji la EPL na akaenda kumnunua Robin van Persie kumfungia magoli na kumaliza Juu ya Manchester City."

"Alimsajili kutwaa taji, halafu akapanga kustaafu. Usajili wa Aubameyang kwangu mimi unasema," Huu ni usajili wa kunipa nafasi nne za juu halafu tutaonana baadae."
 
The past two games Man City wametufunga magoli ya offside. Kesho lazima kieleweke...
 
The past two games Man City wametufunga magoli ya offside. Kesho lazima kieleweke...
Mkuu, kesho ni spurs na si man city. Spurs nawaogopa kwa sasa, wapo vizuri sana kuliko sisi.
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Mkuu, kesho ni spurs na si man city. Spurs nawaogopa kwa sasa, wapo vizuri sana kuliko sisi.
Mkuu imebidi nicheke tu. Niko Castle lite ya 8. Hata hivyo Spurs huwa hawatusumbui sana. We are better too now....
 
Leo Faraja itakuwa Draw! Reason behind nadhani Munaijua. 😀 😀 😀

Mukishinda au Mukishindwa pia faraja haitakosekana 😀 😀 😀

Kwahiyo Results Zote tatu hazitakuwa na Hasara kwangu.

1) Draw √
2) Win √
3) Lose √
 
Back
Top Bottom