Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waafrika wana njaa wewe sio kama hao uliowataja mayai mayai ,unamuona Mo Sarah anavyokinukisha?????mcheki Mane........naisubiri hiyo london derby daaaaah
Mkuu Sarah!!! ni nani? Na hata kama ulikuwa unamaanisha Salah unataka kumfananisha na nani hapo kwenu? Ingekuwa haya maneno ya ushabiki wenu yangekuwa realistic mngekuwa mnacheza UEFA na mngekuwa angalao mna kikombe kimoja cha ligi katika miaka hii 14. Mbaya zaidi huyu anaeongea hapa timu yake ilikuwa nafasi ya 3 sasa iko ya 6
 
2892e9f2d99044a2f1949f08d1f28720.jpg

Wakuu naona kikosi chetu kina marekebisho kidogo.
 
a6b8365022cab286644320e6a238ed6e.jpg

Sina shaka na kikosi chetu cha leo wakuu
#coyg#
Kuna pundits walikuwa wanajadili kuchezesha Wilshire na Ramsey kwenye mechi moja, conclusion ikawa ni lazima Ramsey acheze wide ili Wilshire acheze kati as hawawezi kucheza katikati pamoja.
 
Kuna pundits walikuwa wanajadili kuchezesha Wilshire na Ramsey kwenye mechi moja, conclusion ikawa ni lazima Ramsey acheze wide ili Wilshire acheze kati as hawawezi kucheza katikati pamoja.
Ramsey ni mgonjwa mkuu so hatocheza game ya leo.
 
Back
Top Bottom