RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,737
- 129,435
5-1 against POOR Everton........Kiungo yetu leo inanyambulika sana hapo katikati,sijui wachezaji walikula sana bata baada ya kushinda game ya Everton.
5-1 against POOR Everton........Kiungo yetu leo inanyambulika sana hapo katikati,sijui wachezaji walikula sana bata baada ya kushinda game ya Everton.
Leo tumecheza vibaka chief,ngoja tuone game ijayo5-1 against POOR Everton........
Mkuu matokeo vip?Leo Tottenham anakula bakora kama kawaida tatu mpaka nne
Jamani hii post mnaikumbuka kweli tatizo mnalijua ninyi ila mkiletewa akina aubameyang mnajifanya mmelisahau haya kazi kwenu.Nyie msijitie mmesahau na huku mechi ijayo mpo na Totenham kwao ooohhh...!!!♂️
♂️
Asante sana mkuu kwa kutuletea update hawa jamaa huwa wanajifanya wapo bize sana.Wakuu Hivi Refa na Leo ni Yuleyule John Moss na Msaidizi wake Smart waliochezesha Spurs vs Liverpool?
😀 😀 😀
Atakuw hakuwepoHivi Leo Auba Hakuemo?