Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi ya kesho wala sina wasiwasi. Arsenal ndio timu pekee yenye rekodi ya kuutumia uwanja wa Wembley vizuri na kwa mafanikio.
Nina hakika kesho Totenham analoa 4 kwa ubuyu.
Ila nadhani Wenger angekuwa anamuamini Maintland Niles maana dogo ni fundi wa kukaba na kudrible.


Mkuu vipi wameloa zile 4 kwa ubuyu? 😀 😀 😀
Hawa madogo Wa 1998 wana vituko kweli!!
 
Back
Top Bottom