Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I don't care about the results today. Wenger out, Wenger out, Wenger out.
Rambo Hat trick Rais kufa keshokutwa...
Famous to die kesho kutwa.
Wenger out, Wenger out ,Wenger out.
Pale aletwe diego simeone awape amsha amsha ila wenger uwezo wake umefika mwisho angeenda tu kabla hajafulia zaidi na kuondoka kwa aibu
 
Haaaaaa.......
8ac8f7d29bdac532cb4f4160c103054c.jpg
 
Pale aletwe diego simeone awape amsha amsha ila wenger uwezo wake umefika mwisho angeenda tu kabla hajafulia zaidi na kuondoka kwa aibu
Hata hivyo Mzee Wenger ndio anajiandaa kupumzika hivyo,saivi tunatafuta replacement yake tu.
Baada ya usajili tumeshaonesha improvement pale mbele
 
I don't care about the results today. Wenger out, Wenger out, Wenger out.
Rambo Hat trick Rais kufa keshokutwa...
Famous to die kesho kutwa.
Wenger out, Wenger out ,Wenger out.
WENGER OUT!! WENGER OUT!
Tatizo la Arsenal lipo kwenye dug out!
 
Goli zuri sana hili la Aube..ingependeza zaidi asingekuwa OFFSIDE
 
"Bala is always here" naona umetoka mafichoni. Ila jana mlikipiga; na Mikhi alikuwa on fire. Naamini atafanya vyema hapo Emirates.
Nipo Chifu...

Sema performance ya timu inanifanya nijiweke kando ingawa nakuwa msomaji zaidi..Ninkweli jana timu imecheza vizuri ingawa Everton sio kipimo kizuri cha ubora wa timu..Wangecheza vile kwa mojawapo ya timu 5 za juu ningewakubali zaidi...

All in all asanteni sana kwa Mikhi...
 
Mtanzania! Hajawahi kutoa hata pounds 3 kwa ajili ya timu eti ana uchungu! Wenger out! Timu ya wazungu ile
 
Auba anajua kufunga aseeeeh ....yani magoli kama yale nilizoea kuyaona yanapigwa na mbilikimo messi tu ila sasa yanapigwa nyumbani emirates rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nyie msijitie mmesahau na huku mechi ijayo mpo na Totenham kwao ooohhh...!!!‍♂️‍♂️
 
Back
Top Bottom