Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Hili jukwaa halikuhusu mkuu watu tunatafakari ,nenda kwenu kule kwa wazee.......huku ujanani
According to Terms za JamiiForum basi huu Uzi unanihusu kwa 100%
Hili jukwaa halikuhusu mkuu watu tunatafakari ,nenda kwenu kule kwa wazee.......huku ujanani
Karibu, mkuu tatizo upo ugenini inabidi uwe mpoleAccording to Terms za JamiiForum basi huu Uzi unanihusu kwa 100%
Kuna mijamaa huko imefumuliwa na newcastle hahahaha kutwa wapo humu wanarandaranda ila sasa naona dawa imepatikana


kuna shabiki 1 wa Manure anashinda sana hapa kwetu leo sijamuona kabisa.Ndio dawa yao hiyo mkuu,Naona umevamia uzi wao mpaka wenyewe wamekimbiakuna shabiki 1 wa Manure anashinda sana hapa kwetu leo sijamuona kabisa.
Dah mkuu hilo litakuwa goli la dhahabuYuko kitandani kwa sasa anasubiri Sanchez azawazishe![]()
Lacazette amepata majeraha ya goti ivyo inakadiriwa atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki 4-6
Get well soon Gooner.
Mechi ya kesho wala sina wasiwasi. Arsenal ndio timu pekee yenye rekodi ya kuutumia uwanja wa Wembley vizuri na kwa mafanikio.
Nina hakika kesho Totenham analoa 4 kwa ubuyu.
Ila nadhani Wenger angekuwa anamuamini Maintland Niles maana dogo ni fundi wa kukaba na kudrible.
Wewe bora ungetulia tu,timu yako yenyewe kama maua ya saa 4 inachanua muda mfupi then inanyauka,maji kupwa maji kujaa!Sawa mkuu
Maneno yako yalitimia
Nacheza na PORTO leo usikuWewe bora ungetulia tu,timu yako yenyewe kama maua ya saa 4 inachanua muda mfupi then inanyauka,maji kupwa maji kujaa!
Kwanza una umri gani? Maana washabiki wa Loserfool wengi ni wazee kama wewe ni kijana basi umedandia treni kwa mbele maana jamaa mara ya mwisho kubeba kombe la ligi ya uingereza wachezaji wengi katika kikosi chenu walikuwa hawajazaliwa...... Hahahahahahaha nachekaga sana nikilifikiria hili then nikimuona kijana anajifanya shabiki wa loserfoolish die hard,alafu mkae mjue nyinyi hamjawahi kubeba kitu kinaitwa EPL tafuteni hilo kwanza maana ni aibu kubwa.......Nacheza na PORTO leo usiku
Wewe unacheza na nani?





KichuyaZlatan on Alexis: ''He's smaller than I thought! He was really small, I have played with small players but he's the smallest!'' [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]![]()
Kwanza una umri gani? Maana washabiki wa Loserfool wengi ni wazee kama wewe ni kijana basi umedandia treni kwa mbele maana jamaa mara ya mwisho kubeba kombe la ligi ya uingereza wachezaji wengi katika kikosi chenu walikuwa hawajazaliwa...... Hahahahahahaha nachekaga sana nikilifikiria hili then nikimuona kijana anajifanya shabiki wa loserfoolish die hard,alafu mkae mjue nyinyi hamjawahi kubeba kitu kinaitwa EPL tafuteni hilo kwanza maana ni aibu kubwa.......
Sorry