Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Wewe bora ungetulia tu,timu yako yenyewe kama maua ya saa 4 inachanua muda mfupi then inanyauka,maji kupwa maji kujaa!
Lakini Bado ipo Mbele ya Arsenal Kwenye Ligi na kwenye Kila Kitu 😀 😀 😀
Wewe bora ungetulia tu,timu yako yenyewe kama maua ya saa 4 inachanua muda mfupi then inanyauka,maji kupwa maji kujaa!
Hongera mkuu kwa ushindi wa leo......waafrika wameing'arisha liver leo naona kicheko tu.......mo salah....s mane tchaoLakini Bado ipo Mbele ya Arsenal Kwenye Ligi na kwenye Kila Kitu 😀 😀 😀
Before WWIUnaweza Sema Hivyo Hatujawahi Beba Kitu Kinachoitwa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG] lakini Ubao Unasomeka Tumebeba [HASHTAG]#PremereLeague[/HASHTAG] Mara 18.
Kwahiyo Ukiita "Premere League" Basi Tumebeba Mara 18.
Na #FA hicho ndiyo wanachokihesabu, Kubadilisha Jina ligi ya Awala mnamo Mwaka 1992 ikaitwa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] haimaanishi Kuwa Makombe yetu 18 yalifutwa na Ligi kuu ikaanza Upya.
Hata [HASHTAG]#CarabaoCup[/HASHTAG] sijawahi Kuchukua Kwasababu Jina hill limeanzishwa Msimu huu lakini Kombe hilo nimelichukua Maranyingi Kwa Jina la [HASHTAG]#CarlingCup[/HASHTAG]! Na Mara moja kwa Jina la [HASHTAG]#LeagueCup[/HASHTAG]! Kwahiyo Kubadilishwa Jina Kutoka #LC kwenda [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG] Haimaanishi na Makombe yetu pia Yamefutwa.
• Ukweli Usioupenda Ni Kuwa [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG] ana Makombe Mingi Kuliko Arsenal.
• Liverpool Tumebeba [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Mara 5 wakati [HASHTAG]#Arsen8[/HASHTAG] hajawahi Hata Kuligusa tu likiwa uwanjani.
• Liverpool ana [HASHTAG]#Europer[/HASHTAG] Uefa Cup Nyingi Kuliko Arsen8
• Liverpool ana Europer Super Cup Nyingi Kuliko Arsenal
• Na Aibu Zaidi Liverpool ameshiriki Ligi Ambayo Arsenal Tokea Ianzishwe Haijawahi Kushiriki! Ni League Hile Ya Club Bingwa Ya Dunia anayoshiriki Bingwa Wa UEFA, WA ASIA, WA CAF, WA AMERICA KUSINI NA AMERICA kaskazini.
Hutoweza Kushiriki Mpaka Uchukua UCL jambo ambalo Hata Mjukuu wako hatolishuhudia.
Huwezi Mdharau Liverpool aliyekuzidi Kwa Kila Kitu.
️Our starting XI
![]()
Game imeshaanza....COYG
Mkuu wakumbushe pia week end hii kuna mechi za FA, na mpaka sasa Lukaku 2 Huddesfield 0." Nitamaliza mkataba wangu"
Arsene Wenger amesema kwamba atamalizia mkataba wake uliobaki wa mwaka mmoja na nusu ndani ya Arsenal baada ya kuibuka kwa uvumi kwamba ataondoka Emirates mwishoni mwa msimu huu.
Wenger mwenye umri wa miaka 68 alisaini mkataba wa miaka miwili mwishoni mwa msimu uliopita , lakini kukiwa na wasiwasi wa Gunners kukosa kuingia ndani ya nne bora kwa msimu wa pili mfululizo , kumekuwa na taarifa kwamba Wenger huenda akaondoka mapema.
Hata hivyo Wenger amekanusha taarifa hizo , akiiambia beIN Sports:
" Siku zote nimekuwa nikiheshimu mikataba yangu, ningependa kuwakumbusha, nilisema hapana kwa vilabu vyote vikubwa Duniani kwasababu ya kuheshimu mikataba yangu, kwahiyo hiyo ndio najaribu kufanya mara zote."
"Baada ya hapo, pia inabidi tukubali katika kazi zetu , kwamba maisha ya baadae ni maisha ya baadae tu, lakini kwangu mimi, maisha ya baadae ni kushinda mechi ijayo."
" Inabidi tucheze vizuri katika kila mechi na kuonyesha mpaka mwisho wa msimu njaa ya kushinda kila mechi . Hicho ndio kila kitu kuhusu sisi."