ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,527
- 7,923
Mou huwa hauzi mchezaji kizembezembe. Mtajuta na huu mzigo.Naona mikhi hayupo vizuri kwa leo
Mou huwa hauzi mchezaji kizembezembe. Mtajuta na huu mzigo.Naona mikhi hayupo vizuri kwa leo
Yupo fresh tu, kumbuka alikuwa hachezi, ana rush zile pasi, akitulia na kuwa composed poa tu, bado tunaamini hili jembe..Mou huwa hauzi mchezaji kizembezembe. Mtajuta na huu mzigo.
️On target ya kwanza ikija na bao