Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,180
- 3,419
Ni mm mkuu ile line up ya kwanza niliitoa live score walikosea ila nmesha edit,sorry.Mkuu, kuna jamaa kapost line-up hapo juu, kumbe haikuwa ya kweli.
Ni mm mkuu ile line up ya kwanza niliitoa live score walikosea ila nmesha edit,sorry.Mkuu, kuna jamaa kapost line-up hapo juu, kumbe haikuwa ya kweli.
Poa poa...COYG!!Ni mm mkuu ile line up ya kwanza niliitoa live score walikosea ila nmesha edit,sorry.
nafasi ya makipa kama mvinyo vile! finest as it grows older!Cech apumzike, naona babu hataki kumpa Ospina nafasi.
On paper...Spurs wapo vizuri, wanaweza kutupiga leo.
Noma sana huyu dogo.Uyu dogo Son ni threat hasa kwetu leo.
Kalala na changu leoNaona mikhi hayupo vizuri kwa leo
Nadhani kakosa kujiaminiNaona mikhi hayupo vizuri kwa leo
On target ya kwanza ikija na baoShots on Target:
Spurs 3
Arsenal 0
Shots off Target:
Spurs 2
Arsenal 0