Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasikia kadonolewa na kuku dume Mara 4 akafa. Marehemu alikuwa mdhaifu sana kiafya. Inasikitisha kwa kweli
7a28e13ddf1508ca08de65be0b3861b5.jpg

Vipi kwani hawajasema kama wata m suck Wenger??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huja chelewa. Karibu chai na mandazi. Ukimaliza kuna mchele wa kuchambua kule kwa wakina mama wenzako. Ngoja sisi wanume tukachimbe kaburi tayari kwaajili ya kuzika .
Inamaana mmeamua kuzika wakati ndugu wa marehemu wamekimbia mji wao? 😀😀😀
 
Liverpool pool amekuja kutuazima mnara wetu wa 4G kutungulia Ndege za kivita za arsenal ndio maana Jana tulishinda 2-0 vs Leicester city ...



Karibuni Manchester United Jamani vijana wadogo Mikopo ya Sacoss na Bank iwanyime raha, na arsenal pia !!!!!!!

Sent From My Nokia Ya Tochi
Hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu wafiwa wapo wapi?
Naona akina BAK wameshamkana marehemu.
Ina maana ndugu wa marehemu aliyebaki ni Wenger peke yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tujitolee kwa hali na mali kuakikisha wanakuwa sawa kisaikolojia. Manake popote walipo nahisi hata kazi hawafanyi kwa ufanisi. Wanawaza Salah na Mane.

Mimi mshabiki wa the blue ila goli la Mane jana nilililike 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom