Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

81a5011bb0efccae839d3d1c4037392d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kaka wenger
 
Wanaotuangusha ni Gooners ambao wapo UK, kila siku wanaimba Wenger out, afu weekends wanajazana uwanjani kama makuku ya broiler.

Una mchezaji mwenye thamani ya £45 mil, unampiga bench kisa galasa kama Welbeck ambae hawezi kuhold mpira hata kwa sekunde 3.

Bench yupo world class central defender Mustafi mwenye thamani ya £45 mil, kisha unamchezesha kitoto cha miaka 20 ambacho wenger mwenyewe aliwahi kusema bado hana conference.

Una stiff midfielders kama Coqueline bado unamchezesha Ramsey kama holding, na unajua yeye muda wote anawaza kukimbia mbele.

Hivi kuna haja gani ya kuwaingiza strikers wa2 huku unamtoa Sanchez uwanjani na kumwacha Welbeck ambae sina uhakika kama kagusa mpira zaidi ya mara 6 mechi nzima.

Kuna huyu commentator nimemsikia akisema "Arsenal has quality players than Liverpool, but Liverpool is well coached"

RASMI!! Siangalii tena mechi yoyote ya hawa wasimbe hadi Wenger atakaposepa. I respect him, but his 20 years reign is over. I can't embarrass my emotions like this, back to back. I have stopped wasting my time on Arsenal hadi babu kizee atakaposepa.
Hahahaaa!

Otanrio njoo OT
 
They will win the next two games and praises for Professor Wenger will resurface once again. Same old Arsenal fans
 
Sema Mkuu? Mie sasa hivi nimesimamisha upenzi wa timu hii hadi Babu ajiuzulu au afukuzwe. Nimechashoshwa na vipigo ya kipuuzi kila msimu. TImu walizocheza nazo Liverpool katika mechi mbili za kwanza walingangamara na hivyo kutofungwa nne kwa nunge lakini Arsenal ni kichochoro kikubwa.
Ivi wewe yule uliyekuwa ukiiponda chelsea kuwa timu mbovu.....eeee au siyo wewe. Vumilia tu BAK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani haikuwa mbovu hadi kucheza kwenye maeneo ya kushuka daraja? Kumbuka sababu za Mourinho kuondolewa. Mie ni ukweli tu uongo kwangu mwiko.
Sawa vumilia tu. Haya ni mapito. Kila timu itapambana na hali yake. Mashabiki pia watakubaliana na matokeo na hali iliyopo kwenye club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Mkuu? Mie sasa hivi nimesimamisha upenzi wa timu hii hadi Babu ajiuzulu au afukuzwe. Nimechashoshwa na vipigo ya kipuuzi kila msimu. TImu walizocheza nazo Liverpool katika mechi mbili za kwanza walingangamara na hivyo kutofungwa nne kwa nunge lakini Arsenal ni kichochoro kikubwa.
pole saana mkuu ila Wenger si wa kuondoka msimu huu ila msimu ujao nadhani hamtakuwa nae tena hahahahahaah. hivi alikuwa anafikiria nini kumueka benchi Lacazette??? All in all wenger is a prof.
 
Back
Top Bottom