Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,923
- 27,148
*





"BIG EXPLANATION IS NEEDED FROM WENGER FOR THE LINEUP HE USED. WHAT THE F-U-K WAS THAT? EVEN MY 5 YEAR OLD SAID THIS WAS A DISASTER LINEUP BEFORE THE GAME KICKED OFF. WENGER MUST BE IN SOME KIND OF GAME FIXING."Arsenal waanza kuondoa wachezaji wasumbufu. ....
Arsenal ipo katika mtihani mgumu msimu huu baada ya jana jumapili kufungwa goli alba yaani 4-0 na Liverpool huko Merseyside ambapo wachezaji Fimimho, Mohamed Salah, Sadio Mane na Daniel Sturridge walifunga goli hizo alba.
Arsenal haikuonyesha kabisa kujituma katika mchezo huo na mshambuliaji Alex Lazazette ambae alisajiliwa kwa kiasi cha pauni milioni 60 alianzia kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.
Mtani kwema? ndio mahaba tena hayo stahmilini tu ila pole
Hahahaah kwema mtani,,,,,,,,,,najiweka kando kwa muda.Mtani kwema? ndio mahaba tena hayo stahmilini tu ila pole
Usijali,naelewa maumivu ya kufungwa. Pole sanaaaa sanaaa sanaaaShabikieni timu za kwenu Kama Balimi FC hamtapata presha za bure.