Nilipita kuwapa pole ndugu zetuEeh..hadi huku upo?
Hahahaaa...Waheshimiwa jirani zetu, watoto wa London wenzetu, naomba kuuliza hivi Sanchez alikiwa anacheka nini?, Arsenal Kufungwa?,
Hali zao mbaya...Nilipita kuwapa pole ndugu zetu
Nilipita kuwapa pole ndugu zetu





Shukrani Best, hivi weye ni timu gani vile!? 😛😛
Shukrani Best, hivi weye ni timu gani vile!? 😛😛
Kaka pole sana, tutarajie vifo vingi mwaka huu, yaani mechi tatu unagungwa mbili na hapo ni league ndio imeanza, je ikifika katikati?
Mkuu Sturridge alipowapiga cha 4 nikakukumbuka, nikahisi the way unavyopata maumivu ya moyo ila tu huwa huoneshi, nikakuhurumia sana. Mkuu hamna timu msimu huu. Pole sana
Mbona huyu kanenepa??